Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

#posers
20220503_135759.jpg
 
sis nimecheka had watu wananiona chizi hapa, eti ulimchambaa. Woiiiiiiiih.
Nilikachambaa katoto kadogo kanataka kusumbua wakubwa zake
Nikawaambia hivi nyie mnadhani nyie ndo wa kwanza kujua mapenzi dunia nzima??
Wazazi wenu wanajua watoto wapo shule kumbe mnafanya ujinga tu!
Kama hamuwezi kutoka wenyewe Kwa amani basi ngoja nimwite Suma awatoe😆.

Kuna hadi nyumba vya elfu 15 huko mjini ila wameng'ang'ana tu kukera watu hostel...aisee sipendagi ujinga.

Kila jambo linatokea Kwa sababu...huenda Mungu alikuwa ananiandaa kuvumilia kero hapa duniani.
 
Niwajulie wapi dear
Nilikaa hostel nikiwa first year tu baada ya hapo nikaenda kukaa za nje huko

Kha sasa hayo ni mambo ya ajabu kweli
nilisikia tu hii kwa room za wanaume sikujua hata kuna ke wanafanya hivi .
Yaani sijui hata huwa wanawaza nini watu
Sisi ilikuwa hairuhusiwi kupanga labda uwe na sababu zenye mashiko mfano umeolewa au mjamzito.
 
Nilikachambaa katoto kadogo kanataka kusumbua wakubwa zake
Nikawaambia hivi nyie mnadhani nyie ndo wa kwanza kujua mapenzi dunia nzima??
Wazazi wenu wanajua watoto wapo shule kumbe mnafanya ujinga tu!
Kama hamuwezi kutoka wenyewe Kwa amani basi ngoja nimwite Suma awatoe.

Kuna hadi nyumba vya elfu 15 huko mjini ila wameng'ang'ana tu kukera watu hostel...aisee sipendagi ujinga.

Kila jambo linatokea Kwa sababu...huenda Mungu alikuwa ananiandaa kuvumilia kero hapa duniani.
Hao wakaka hawakukuona nongwa? .
Story za hostel nlisikia kabla hata sijaja chuo, nkajisemea sitaweza mie hivyo kero.
 
Back
Top Bottom