Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mbona Atoto alituma tena eti?? Hukumuomba tu kama alinitumia mimi asingeshindwa kukutumia wewe!!

Sisi wanawake tukibembelezwa na ninyi mbona huwa tunalainika jamani??Au na wewe hauwezagi kubembeleza mwanamke??(Joke)
Hahahah hao ndo walininyanyapaa sana nilipoomba zao...

Shunie alinitumia ya vidole akiwa kaunta ya juu
Sakayo ye akaweka sijui ki emoji gani kile
Atoto nilikuta sifa zake tu za shingo ya Kitutsi
 
Mbona Atoto alituma tena eti?? Hukumuomba tu kama alinitumia mimi asingeshindwa kukutumia wewe!!

Sisi wanawake tukibembelezwa na ninyi mbona huwa tunalainika jamani??Au na wewe hauwezagi kubembeleza mwanamke??(Joke)
Mie nabembelezwa kwa pesa, nalainikaaaa.
Ila hiki kibabu Watu8 hata hakijui kubembeleza.
 
20190530_083045.jpg

Morning guys
 
Back
Top Bottom