Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,556
- 235,330
Naona wanarusha mizengwe.Ooh yeah
Alikuwa yupo vizuri kweli .. legendary kabisa
Hapa nasubiri nione movie ya ITV niliiona week iliyopita inaitwa mimba .
Unajitahidi tena kwa mkaaNa mimi napambana kujifunza wii hata usinipe hongera
Nimebet tu[emoji23]
Emma sijui kamfanya nini binti wa watu [emoji848][emoji848][emoji848]
View attachment 2207642
Aah wizo huyooo[emoji39]Yesu ameshinda Vita MileleView attachment 2207549View attachment 2207551
Nimekumbuka shule jaman, awww, [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Mwalimu wa bure 🥸
View attachment 2207846
Naona wanarusha mizengwe.
Tangu yule Mzee matata afariki sijawahi kuipenda tena mizengwe.
Kanumba aisee aliinua wengi
Hapa namuona Swebe..jamaa nilimsahau kabisa.
Yes shostieee.Anha kumbe nimekupata hapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan nacheka mnoo hapa.Hatutaki aisee [emoji23]
Ndo nini kufanya hivyo
Nilienda kusuka kwake crotchet anajua sema ndo hivyo vitabia vyake .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nataka kile kigauni chako kingne,Njoo uchukue gauni la marinda[emoji23]
Mi sijui kabisaaNa mimi napambana kujifunza wii hata usinipe hongera
Nimebet tu[emoji23]
Hahahha tabia sio kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan nacheka mnoo hapa.
Usiombe uangukie mikononi mwa EmmaLooo makubwa haya
Watu mko vzrOoh yeah
Alikuwa yupo vizuri kweli .. legendary kabisa
Hapa nasubiri nione movie ya ITV niliiona week iliyopita inaitwa mimba .
Usiombe uangukie mikononi mwa Emma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila nyie watu jaman, mbna unanfanya nicheke mnooo.Hahahha tabia sio kabisa
Sema ukienda kusuka hana mambo hayo
Mimi sijui ila niko interested nazoMi sijui kabisaa
I think sina interest!
Ila nitajifinza tu hata za kula nyumbani
Ooh niceWatu mko vzr
Mi sshv huwa naangalia jua Kali kibongobongo ndo naona kidogo tamthilia nzuri wanakuja juu sura mpya kwenye tasnia.
Huba inaniudhi kwenye baadhi ya scene
Kile?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nataka kile kigauni chako kingne,
Kile ndo type yangu. Haya ya marinda akaaaah.
Mie KAPUNI ndo ilinibamba mnooo.Watu mko vzr
Mi sshv huwa naangalia jua Kali kibongobongo ndo naona kidogo tamthilia nzuri wanakuja juu sura mpya kwenye tasnia.
Huba inaniudhi kwenye baadhi ya scene
Za kwa MwamposaAah wizo huyooo[emoji39]