cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,941
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] thubutuuu.[emoji28][emoji28]
Kweli aisee kama hapa ungeniona jinsi nilivyo .
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] thubutuuu.[emoji28][emoji28]
Kweli aisee kama hapa ungeniona jinsi nilivyo .
Shouzzz acha kunijaza bas nawee lol. [emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]Kam kauwaaa [emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]!!!
Nina bahati leo, hutu tudole tuzuri sana...dah!!
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] thubutuuu.
Ooh thank you rafikiNina bahati leo, hutu tudole tuzuri sana...dah!!
Duh! Aiseee mama yako ndio mwanamke wa nguvu. Naamini hata namna ya kujistiri kakufundisha yeye. Sio hawa wamama wa Leo kitoto kidogo tayari kishaanza kuvishwa bikini halafu wanaona sifa.Asante aisee mamaangu Hadi nafikia drs la Saba ananikagua kucha kilawiki sijawahi kufuga kabisa na Hadi hapa siwez tena
Hadi leo akiniona na kucha zimekua kidogo lazima anichambe Ila mbna wanaofuga wanapendeza wakipaka na rangi wananoga sana[emoji3059]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah, kwann unatinda sasa?Hahaha
Sijatinda nyusi basi sijui najionaje last time nikajifanya fundi nikajitinda aisee nilitoa nyusi karibia zote bila ule uwanja sijui ingekuwaje nilikuwa nachekesha [emoji28][emoji28]
Yaani nina nyusi nyingi nisipotinda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah, kwann unatinda sasa?
Irudiwe [emoji1787][emoji1787]Ooh asante dear [emoji3590]
Mbona bado ipoIrudiwe [emoji1787][emoji1787]
Eti umekua na sura personal [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Thank you
Picha ya mda hiyo
Sasa hivi nina sura personal [emoji1787][emoji1787]
Ile ingine sijaonaMbona bado ipo
Picha ya vidole
Hahhaha acha tu rafikiEti umekua na sura personal [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Swadakta [emoji7][emoji7][emoji7]
Umejua kunichekesha, thanks for pic ipo hot [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]Hahhaha acha tu rafiki
Hahhaha kweliUmejua kunichekesha, thanks for pic ipo hot [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
[emoji1545]Swadakta [emoji7][emoji7][emoji7]
Itabidi tugombanie na mwenye kisu kikali ale nyamaYes rafiki
Sijawahi kuvaa hata pete hapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duuuh aseee shost poleee.Yaani nina nyusi nyingi nisipotinda
Huwa natinda nakupatia kidogo sema siku hiyo tu nilijikuta nimetoa nyusi zote [emoji23]