Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,863
- 147,314
Nasubiri mpira uanze hapa.Naunga mkono hoja[emoji881][emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasubiri mpira uanze hapa.Naunga mkono hoja[emoji881][emoji2][emoji2]
Mkishinda simba koko tunaachana 🥸🥸🥸Naunga mkono hoja🦁😃😃
Leo ana kufa mtu😬🦁🦁
Mimi na wewe tuachane mara ngapi eti dear ex😬😬😬🦁Mkishinda simba koko tunaachana 🥸🥸🥸
Sema,weka akiba ya maneno[emoji23]Ijabu sio deal toa ahadi ingine.. lazima tuwachape 2 kwa ka moko..
si tunaachana tunarudiana.. na tukishanda unalala na 11 plus sub 😎😎😎 uzuri tunawachapa 2 - 1... ujiandae kazi nzito ipoMimi na wewe tuachane mara ngapi eti dear ex😬😬😬🦁
Maana washaanza keleleLeo ana kufa mtu[emoji51][emoji881][emoji881]
hakuna akiba ya maneno mnakufa 2 - 1.. na ikitokea ika draw au kutihinda nyie paka mwity naachana na JF milele
Safari hii sahau kukurudia mpendwasi tunaachana tunarudiana.. na tukishanda unalala na 11 plus sub 😎😎😎 uzuri tunawachapa 2 - 1... ujiandae kazi nzito ipo
Sana, silipendi...sema halinihusu so sina la kufanya[emoji2]
Sie hatuna kelele ni kazi kazi,show show😬😬
Labda mfunge swaumu sio kuifunga Yanga team kubwaaa... tunawachapa nje ndani na ndani tunawachapaSafari hii sahau kukurudia mpendwa
Suburi baadae tuwafunge 😬
Saved.hakuna akiba ya maneno mnakufa 2 - 1.. na ikitokea ika draw au kutihinda nyie paka mwity naachana na JF milele
Una niahidi nini tukiwafunga jambo ambalo ni lazima litokee😂😂😂Labda mfunge swaumu sio kuifunga Yanga team kubwaaa... tunawachapa nje ndani na ndani tunawachapa
Hauna namna[emoji41]Sana, silipendi...sema halinihusu so sina la kufanya[emoji2]
tupingeine alafu uone moto wetu... 🔥🔥🔥 tunawapakata vizuri kabisa wachumba..
Huwezi kuacha Jf labla ubadili id nyingine 😬😬hakuna akiba ya maneno mnakufa 2 - 1.. na ikitokea ika draw au kutihinda nyie paka mwity naachana na JF milele
Kabisa kiongozi!!
Haitakaa itokee mdraw wala kutufunga, jiandae kula 2 - 1 uwanjani ... na home unakula 11 plus sub zote 😅😅😅😅😅 cha kukuahidi jiandae maumivu makali sana tuUna niahidi nini tukiwafunga jambo ambalo ni lazima litokee😂😂😂
😬😬😬Haitakaa itokee mdraw wala kutufunga, jiandae kula 2 - 1 uwanjani ... na home unakula 11 plus sub zote 😅😅😅😅😅 cha kukuahidi jiandae maumivu makali sana tu