wajingawatu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 2,051
- 2,462
Huyu siyo JB?
Huyu siyo JB?
Mie sitaki,,hile mechi ya S.A,nilitokwa na machozi wallahTupo wengi hahaha
Ya nini kujipa stress..
Ile iliumiza mno aisee
Huwezi kupata usingizi 😀Sitaki presha,nikimaliza kufturu tu kulala,sijui usingizi nitapata
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuliko kuvaa hizo bora nitembee uchi😬😬Sema nije na ya rangi gani.. ukijiandaa kula 11 zako 😅😅😅View attachment 2206221
Leo jiandae kutoa kamasi kabisa na udenda
kwani huwa hutembei uchi chumbani na bafuni au basi 😎😎Kuliko kuvaa hizo bora nitembee uchi😬😬
Akuuu sitembei🥷🏻kwani huwa hutembei uchi chumbani na bafuni au basi 😎😎
weeeee 😅😅Akuuu sitembei🥷🏻
Ndio 😬weeeee 😅😅
Ulivyo mzuri kwa mwili, usitembee uchi kwakweli utaleta taflani tu 😅😅😅 ila leo 2 - 1 pale pale na 11 zipo pale pale labda ukimbie au ujificheNdio 😬
Mkitufanga nyinyi leo sitaonekana kwenye uzi wa sefika maisha😬😜Ulivyo mzuri kwa mwili, usitembee uchi kwakweli utaleta taflani tu 😅😅😅 ila leo 2 - 1 pale pale na 11 zipo pale pale labda ukimbie au ujifiche
Jiandae kuto kuonekana aisee 2 - 1 zipo pale na 11 nyumbani zipo pale pale.. jiandae maumivu ya two in one 😅😅😅Mkitufanga nyinyi leo sitaonekana kwenye uzi wa sefika maisha😬😜
Ilsikitisha sanaIle iliumiza mno aisee
Wachezaji walifanya kazi nzuri sema bahati haikuwa upande wetu .
na mimateee na ka haja kadogooo kiduchu 😅😅
Ipo siku , tutafanikiwa tu