Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,561
- 23,991
Ngoja nivumilie.
Jana miguu ilikuwa inatokota joto ila nikasema sivui..nikajikaza.
usivue nkamu ndiyo tiba yenyewe hiyo

Ngoja nivumilie.
Jana miguu ilikuwa inatokota joto ila nikasema sivui..nikajikaza.

Kweli? Em nivute kumbukumbu vzuri jion hyo ilikuajeIlikuwa jioni km saa 12.
Hakuwa Pacha,ulikuwa ni wewe bn
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Nashinda nazo muda wote.usivue nkamu ndiyo tiba yenyewe hiyo![]()
Dah Mideko 😂🙌😂🙌I know that you can do all things,and no purpose of thine can be thwarted.View attachment 1534192View attachment 1534193
Umeupiga mwingi😂😂😂😂🥰🥰Wikend njema
Kamkoba katamu
Aiseeee......❤#issa weekendView attachment 2205926
Me sina roho mbaya kama weweAiseeee......❤
Mideko anaibua vipaji🤣Umeupiga mwingi😂😂😂😂
Weka camera vizuri basi tumuone LenieMe sina roho mbaya kama wewe
Katika vitu ina maliza pesa zangu ni hii kitu Napenda mno😍
Tupo wengi 🥰🥰Katika vitu ina maliza pesa zangu ni hii kitu Napenda mno😍