Heshima yako boss NuzulatiKatika vitu ina maliza pesa zangu ni hii kitu Napenda mnoš
Selfika mkuu
Heshima yako boss NuzulatiKatika vitu ina maliza pesa zangu ni hii kitu Napenda mnoš
Huo ndiyo ubinafsi sasa na roho mbayaš¤£Camera ya mbele imevunjika
Acha kabisa kuna mda natamani niache ila nashindwa š¬Tupo wengi š„°š„°
š¤£š¤£š¤£Huo ndiyo ubinafsi sasa na roho mbayaš¤£
Usiombe ukute mtu kaita baby unaweza kupekua profile ya mtu kutwanzima



Ngoja nikuwekee na wimbo wa kusindikiza wikiend yako kbs#issa weekendView attachment 2205926
Santee ila hiko kilugha itabidi unitafsiriešNgoja nikuwekee na wimbo wa kusindikiza wikiend yako kbs
Tupingiane wachumbq zetu... tunawachapa mbili kavu kavu
Hahahahhaha aisee,,,,mie namwambia tu,punguza hayo matani na watu zakoUsiombe ukute mtu kaita baby unaweza kupekua profile ya mtu kutwanzima
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app


Kiganda kimechanganywa na kiingerezaSantee ila hiko kilugha itabidi unitafsirieš
Chorus ndio nimeelewašKiganda kimechanganywa na kiingereza
Ila hili vazi bwana!Nani atamfunga paka kengere??
Yanga wakifunga mniite nije nitoe niqabuView attachment 2206121
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hojaš¦ššNani atamfunga paka kengere??
Yanga wakifunga mniite nije nitoe niqabuView attachment 2206121
Sent using Jamii Forums mobile app
Ijabu sio deal toa ahadi ingine.. lazima tuwachape 2 kwa ka moko..Nani atamfunga paka kengere??
Yanga wakifunga mniite nije nitoe niqabuView attachment 2206121
Sent using Jamii Forums mobile app