Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Usiwe na wasiwasi na Mimi Mkuu, sisi ni wale Wazee wachache tuliofundishwa maadili na hayati Mzee Nyerere tangu wakati ule wa Azimio la Arusha, kabla ya Maazimio ya Musoma na Dodoma 🤪🤪

Nimeona ni kama upo bonde la Usangu, vipi unalima huko? Karibu nikukodishie shamba la mpunga karibu na hao Waburushi 🚶🚶🚶
😅😅 Prof Juma Kapuyanga mwalimu wenu alikuwa mmoja eeh 😎😎😎

hapana sio usangu.. waburushi wakwe zangu nitawatuma uwaoneshe mzigo kwanza 😅😅
 
😅😅 Prof Juma Kapuyanga mwalimu wenu alikuwa mmoja eeh 😎😎😎

hapana sio usangu.. waburushi wakwe zangu nitawatuma uwaoneshe mzigo kwanza 😅😅
Hahahahaha...........Prof Kapuya alikuwa Dom leader wetu wakati tupo Jeshi la kujenga Taifa miaka Ile 🤪🤪

Naona unaogopa kutapeliwa, sisi Vijana wa Zamani hatujawahi kuwa Matapeli kama ninyi mlivyo, Muulize Mzee mwenzangu Chenge jinsi tulivyo waungwana 😂😂
 
.
IMG20220428171241.jpg
IMG20220428171626.jpg
 
Hahahahaha...........Prof Kapuya alikuwa Dom leader wetu wakati tupo Jeshi la kujenga Taifa miaka Ile 🤪🤪

Naona unaogopa kutapeliwa, sisi Vijana wa Zamani hatujawahi kuwa Matapeli kama ninyi mlivyo, Muulize Mzee mwenzangu Chenge jinsi tulivyo waungwana 😂😂
Unaona shamba la mchumba Nuzulati kaniomba nimuangalizie angalizie maendeleo yake maana anajisikia ka homa homa 😅😅.. nyie wazee wapiga deal sana
E372B228-D99B-4DE1-9A18-AB4BFFDE8B66.jpeg
 
Unaona shamba la mchumba Nuzulati kaniomba nimuangalizie angalizie maendeleo yake maana anajisikia ka homa homa 😅😅.. nyie wazee wapiga deal sanaView attachment 2203935
Mpe hongera Mjukuu wangu, kumbe kile kitabu changu nilichowaandikia wosia Vijana cha "Kama mnataka Mali mtaipata shambani" alikisoma vizuri na kukielewa 🤪🤪🙊
 
Nipe hizo sifa Babu yake hapa Kwa malezi mazuri niliyompatia ikiwemo na kumpeleka Shule nzuri ya Upili na Chuo 💪
😅😅😅😅 ahaha siri ya kambi we mzeee.. siku hizi kumekuwa na case nyingi za wababa kulala na watoto wao sidanganyiki atii.. ila jua na enjoy sanaaa.. dunia kama yangu vile
 
😅😅😅😅 ahaha siri ya kambi we mzeee.. siku hizi kumekuwa na case nyingi za wababa kulala na watoto wao sidanganyiki atii.. ila jua na enjoy sanaaa.. dunia kama yangu vile
Wewe lazima nije nikupige faini siku ya kuja kuleta Posa, na kwenye hela ya Mali lazima nitake Koti la Suti kutoka Italia kabisa kukukomesha 🤪🤪🤪
 
Back
Top Bottom