Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Kuna siku nilitaka kupanda daraja hapo ilikuwa saa mbili watu wakanishtua kuwa wanakaba ikabidi nivuke tu bara bara .Sasa hapo mbezi
Ukipigwa hiyo mkoba
Wanasepa na biblia
Kuna siku nilitaka kupanda daraja hapo ilikuwa saa mbili watu wakanishtua kuwa wanakaba ikabidi nivuke tu bara bara .Sasa hapo mbezi
Ukipigwa hiyo mkoba
Wanasepa na biblia
HaibishaniwiAaah nikahisi labda picha inaendana na maeneo hayo
Hapo ni nomaKuna siku nilitaka kupanda daraja hapo ilikuwa saa mbili watu wakanishtua kuwa wanakaba ikabidi nivuke tu bara bara .
Eeh kumbeHapo ni noma
hapana sijui 😒😒Kwamba
Hujawahi
Hujui
Na haujakua
[emoji1787][emoji1787]hapana sijui [emoji19][emoji19]
Pepo mwenyewe [emoji23]Pepo
Oh Pep
Faraghani kugumu[emoji4]Binti faraghani
Wananipigia wapi wakati ni dakika 4 tu kutoka kanisani hadi nyumbaniSasa hapo mbezi
Ukipigwa hiyo mkoba
Wanasepa na biblia
Sasa jaribu uone moto wa Yesoo[emoji2]Mjikute tyuuuuuu
Hongera umeitunzaWananipigia wapi wakati ni dakika 4 tu kutoka kanisani hadi nyumbani
All in all hii Biblia ikipotea nitalia sana.
Ina zaidi ya miaka 10 mikononi mwangu.
Nilikabidhiwa Biblia kubwa rasmi nilivyoenda shule secondary .Hongera umeitunza
Mimi kuna biblia nimeichukua kwa mtu sasa ina miaka kumi na sita ..naipenda ina mafundisho mazuri kuhusu ndoa na mahusiano kiujumla .
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Pepo
Oh Pep
Hapo nimemalizanaNakuona mkali wa mbinu Wigelekelo View attachment 2204023
[emoji16][emoji16][emoji16]Faraghani kugumu[emoji4]