Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it



Ngoja mjomba aje atuambie anawinda nini?
🥸🥸 mambo yenu mazito nyie.. tusikuzane Shangazii.. natoka zangu huku sasa narudi kwenye jiji lenye joto aisee
980F7DC0-3EB8-40D6-AE6C-9EF8F1F4829B.jpeg
 
wewe babuu una danger , nitakutegemea king'amuzi 😅😅
Usiwe na wasiwasi na Mimi Mkuu, sisi ni wale Wazee wachache tuliofundishwa maadili na hayati Mzee Nyerere tangu wakati ule wa Azimio la Arusha, kabla ya Maazimio ya Musoma na Dodoma 🤪🤪

Nimeona ni kama upo bonde la Usangu, vipi unalima huko? Karibu nikukodishie shamba la mpunga karibu na hao Waburushi 🚶🚶🚶
 
Back
Top Bottom