Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,403
Stress nadhani ni msongo wa mawazo...mfadhaiko kuna kipindi walikuwa wanaitumia kumaanisha ile hali ya msisimko inayompata mwanaume anapogusana na mwanamke na kupiga bao papo kwa papo. Mf. Mtu anabanana tu na mwanamke kwenye daladala basi yeye huyoo anapiga bao....extreme and unusual sexual arousal....Hivi kuwa na mfadhaiko ndo stress ama lugha gongana??
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Mfadhaiko nadhani pia yaweza kumaanisha kuvunjika moyo...ambayo inaweza kusababisha stress....



