Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,196
Mimi mwenyewe kikristo kilinipita mbali kama upepoAm kickin[emoji1787]
Sijui nimepatia[emoji848]
Mimi mwenyewe kikristo kilinipita mbali kama upepoAm kickin[emoji1787]
Sijui nimepatia[emoji848]
Asante my dear.Asante sana mrembo[emoji3059]
Wewe ni mzuri sana...
[emoji4] thnks. Nipasie kahawa basi.Aisehhhhh kumbe kahawa leo imenifanya nikuone ningelala ningekuonea wapi u are beautiful shemeji huko anatakiwa aombe ulinzi
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Ndiyo utulie sasa kabla sijakuchapa mgonjwa sitaki keroUlijuaje kama nadeka mimi nikiumwa ni kero kwa anayeniuguza[emoji51]
Bila shaka kahawa mezani unywe na donati safi kabisa,[emoji4] thnks. Nipasie kahawa basi.
Nimetulia mpendwa[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Ndiyo utulie sasa kabla sijakuchapa mgonjwa sitaki kero
HukubebwaMimi mwenyewe kikristo kilinipita mbali kama upepo
Nafurahi kusikia hivyo, umalize chai ukaoge maji ya moto yapo tayariNimetulia mpendwa
Nilikuwa Mimi nabeba mfagio na kidumuHukubebwa
Na yellow bus[emoji848]
Umeupiga mwingi Auntie wa Junia ❤️🙏Kama mwanadamu inatakiwa ifike wakati uachane na mambo yaliyopita... Mambo yaliyopita muda mwingine yanakosesha amani ya maisha unayokuwa nayo sasa..
Ifikirie sasa ..Ifikirie kesho ...Jana inafundisha lakini haitakiwi kukufunga ukawa mahala hapo hapo.
Usipoteze mwelekeo kwa sababu ya jana ..Jana ni Jana .. Leo ipe nafasi yake kwa kuanza upya ..ili kesho inapofika ikute una pa kuanzia.
Have a goodnight friends
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Nawepia kipenziUmeupiga mwingi Auntie wa Junia [emoji3590][emoji120]
Allah akulinde,, usiku mwema pia
Amin
safi sana umeamkajeYes nimepata
Mkuu kwa hizi sifa eti sijabahatika kuona hiyo picha.....Na kweli
Maana ni kisu cha ukweli
Black current flan amazing
Shavu dodo
Mdomo wa kudeka
Ana macho meupee
Akiwa wangu
Hata sichelewi kurudi hom
KelseaYa kweli haya??
Uwe na siku njema mkuuHabari ya mimi njema/salama kabisa mpendwa
KARIBU