Nani kakudanganyaWamakonde
Mnayaweza
Mnayajulia sana
Uno uno kweli
Mihangaiko[emoji2][emoji2] naona leo ulikua busy...
JanaNakula kila siku
Wewe konde galNani kakudanganya
Hamna uno wala sikuhiz kilamtu uno analo kwa kadri ya uwezo wake [emoji16]
Alafu wabena na uno mbali mno
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Safi mkuu kama hivyo ipo salama
Mm mbena bhana uno ni kipengeleWewe konde gal
Ebu tulia kidogo
Umesema[emoji848][emoji849]
Kitambi hakikwepeki haijalishi ratio[emoji38], kulizika tu na maisha unaweza kupata kitambiNaogopa kujaza kitambi [emoji3061][emoji3061]
Mihangaiko
Nisipotoka sili
Wala hutaniona humu
Nifanyie wepesi bhas
Mbususu ni nini[emoji16]Mbususu zilivyotapakaa hivi ndio wamefikia hiyo stage [emoji2] hatari sana.
Sema hongera[emoji1787]Pole na mihangaiko...
Nilikuwa nakutafuta mwl
Kama maziwa napata ya nini kufuga ng'ombe?
Tinsley
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Brother upo tayari hata kulipia ili irudiweeImenipita. Kuna uwezekano wa kurudiwa hata kama ni kwa sekunde mbili?
Yes nimepataasee pole sana rafiki mrembo.umepata dawa?
Sauti imekatika kabisa ila nashukuru kwa sasa naendelea vizuri shukrani sana ndugu🙏🏽Vipi hali ya koo???
Sema wanaweka picha na kuzitoa za kwetu zipo tu humu tangu uwasisi wa uzi huuHumu kuna vyombo vya maana sana..