Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,198
Ewaa[emoji7]
Mungu azidi kukutunza mno
Ewaa[emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji56][emoji56][emoji56][emoji23]aisee Ile sirudii tumalizie malizieView attachment 2202867
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Sema shangazi wangu kisu hatari, kinakata hadi vinavyoshindwa katikaa.. Mungu anajua aseee
Mi ndo namalizia nikalale[emoji28][emoji28]Ok ok thanks
Ngoja nikanywe bia mbili nije nikujibu[emoji23]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Wapi shangazi nikivaa haieleweki hata ukiiona unaona kabisa huyu fundi alikua mafunzoni kabisa!!😂Ila imetokea kama ka staili fulani hivi sio mbaya...
Wapi shangazi nikivaa haieleweki hata ukiiona unaona kabisa huyu fundi alikua mafunzoni kabisa!![emoji23]
shangazi upo kwenye ulimwengu wa warembo na wazuri.. yani ume balance hatari sana shangazi sijui nikutafutie zawadi gani tu shangazi yangu kwa kumshukuru Mungu kwa uumbaji uliotukuka kwako 😇😇Hata wewe mjomba? Wanakulipa bei gani niongeze[emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji16]Mi ndo namalizia nikalale[emoji28][emoji28]
shangazi upo kwenye ulimwengu wa warembo na wazuri.. yani ume balance hatari sana shangazi sijui nikutafutie zawadi gani tu shangazi yangu kwa kumshukuru Mungu kwa uumbaji uliotukuka kwako [emoji56][emoji56]
Eeh 😂😂😂 vijana wa Dar mbona hatujawaonea na chips zao😂🙂🙂 Ugali ugali tunahitaji nguvu.. hatutaki uonevu kama mnao wafanyia vijana wa dar
Labda sababu ni kwenye picha inaonekana poa tu...
Ulimpa hela yake yote?
🤗🤗 na wazee ndio habari ya dunia vijana tupa kule.. vijana wa siku hizi kama wehuHaya shukrani mjomba...
Sikuhizi wazee sisi tumekuwa wabishi sana,hatutaki kuachia ngazi[emoji2][emoji2]
kutaja tu chips zao ni unyanyasaji tosha hapo umesahahu maana wanapenda mayonaizi hao 😀😀 dk 0.30 tayari chaliiEeh 😂😂😂 vijana wa Dar mbona hatujawaonea na chips zao😂
Kwahiyo nimeshiriki kuwanyanyasa kwa kutaja chips jamani😂😂kutaja tu chips zao ni unyanyasaji tosha hapo umesahahu maana wanapenda mayonaizi hao 😀😀 dk 0.30 tayari chalii
[emoji23][emoji23]Kwahiyo nimeshiriki kuwanyanyasa kwa kutaja chips jamani[emoji23][emoji23]
Ujue wanasikitika sana, ila sasa hawana la kukufanya maana nguvu zenyewe hawanaaa 😀😀😀😀... wamebaki kujipamba lips tuKwahiyo nimeshiriki kuwanyanyasa kwa kutaja chips jamani😂😂
Wanapita tu kimyakimya[emoji23]Ujue wanasikitika sana, ila sasa hawana la kukufanya maana nguvu zenyewe hawanaaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]... wamebaki kujipamba lips tu
Sijui huyo mchumi