Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,435
- 52,911
Mpaka asubuhi utakua sawa[emoji1431][emoji1431]
Mpaka asubuhi utakua sawa[emoji1431][emoji1431]
[emoji23][emoji23][emoji23] haya.Mimi silijui rafiki
Wewe zako si unafuta [emoji849]hebu weka sahiviNataman kukuona ujue
Thanks rafiki kwa kujali🙏🏽Mpaka asubuhi utakua sawa
Nimeipenda[emoji3526]
Umeweka picha umetoa au macho yangu jamani kama ni yako upo vizuri sana, shemeji yangu anafaidi sana[emoji23][emoji23][emoji23] haya.
Kuna marafiki ambao hatutakiwi tuwaache hata kama tutakuwa na vyeo hii hadithi ya Daniel inafundisho nzuri.Nimeipenda[emoji3526]
Ndio mpendwa
Nakunywa kahawa hapa nikuweke na yakoThanks rafiki kwa kujali[emoji1431]
Chai yenye mchanganyiko wa tangawizi itapendeza 🙏🏽Nakunywa kahawa hapa nikuweke na yako
Nimeweka na kutoa [emoji23][emoji23]Umeweka picha umetoa au macho yangu jamani kama ni yako upo vizuri sana, shemeji yangu anafaidi sana
Umenena vyema sana, ukiacha kujifikilia na kuanza kuwafikiria watu waliokaribu yako Mungu atafanya mengi mazuri juu yako, mpende jirani yako kama......Kuna marafiki ambao hatutakiwi tuwaache hata kama tutakuwa na vyeo hii hadithi ya Daniel inafundisho nzuri.
Nimeweka na kutoa [emoji23][emoji23]
Sawa sawa cha kudeka[emoji16] naweka tea masala [emoji477][emoji477][emoji477]amka basi unyweChai yenye mchanganyiko wa tangawizi itapendeza [emoji1431]
Ngoja na mimi.maana unanisumbua sana, nami niweke nakutoa nafuta kabisa, naweka iliyo ya zamani kidogo [emoji38]Nimeweka na kutoa [emoji23][emoji23]
Ulijuaje kama nadeka mimi nikiumwa ni kero kwa anayeniuguza😬Sawa sawa cha kudeka[emoji16] naweka tea masala [emoji477][emoji477][emoji477]amka basi unywe
Unadhani naweza kulala Kwa kula vile viandazi?Jana
Ulikula vimaandazi
Halafu wali
Ilikuwa jumanne
Usinifanyie hivyo bwanaNgoja na mimi.maana unanisumbua sana, nami niweke nakutoa nafuta kabisa, naweka iliyo ya zamani kidogo [emoji38]
Aisehhhhh kumbe kahawa leo imenifanya nikuone ningelala ningekuonea wapi u are beautiful shemeji huko anatakiwa aombe ulinzi