Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Wali sio chakulaYaani hilo nguna mtoto haruki[emoji23][emoji119] afu wanapenda ugali sana au wali ni adimu huko?[emoji14]
Ni kama Big G
Wali sio chakulaYaani hilo nguna mtoto haruki[emoji23][emoji119] afu wanapenda ugali sana au wali ni adimu huko?[emoji14]
[emoji1787]Ngosha!
Namhala!
Namugī!
Digala!
Nsūmbantale!
Nkulugenji!
Ntemi!
......
😀😀😀
Itakua nduguzangu wasukuma haoWali sio chakula
Ni kama Big G
Oky ahsante[emoji7]Njoo tu vitambaa vipo hapa vizuri, nitakupa nacho offer [emoji3][emoji3][emoji3]
huyu mchumi muoga sana wa kimasihara... mala nyingi namuita nimpe pindi la uchumi wa juu zaidi gheto anaogopa sijui kuna niniSijui huyo mchumi
Ataendelea kushangaa[emoji848]
Angalao kidogo umemuonyesha
Hali halisi ilivyo[emoji1787]
YaaniUmekuwa msaga sumu kama Wige?
MamboMbona nilishakuambia mimi nipo upande mmoja na baba mchungaji[emoji2096]
Kitambaa kimeshalipiwa[emoji23] wacha nitafute kabisa kitambaa. Shukrani sana.
Yaani
Ile nasoma hapa
Nakuta picha ya shangazi
Inayeyuka yeyuu
Wamakonde
SkonziSkonzi unazijua Shangazi [emoji3][emoji3][emoji3] zile ni fire, zimetulia zimepangika zinaonekana na ndio raha yake zionekana
Kumbeee
PoaMambo
Sister dada
Binamu
Nakula kila sikuKumbeee
Kila jumatano
Ni zamu ya kula ugali[emoji1787]
Sawa sawa.Kitambaa kimeshalipiwa
Nenda uchukuliwe vipimo
Hakikashangazi upo kwenye ulimwengu wa warembo na wazuri.. yani ume balance hatari sana shangazi sijui nikutafutie zawadi gani tu shangazi yangu kwa kumshukuru Mungu kwa uumbaji uliotukuka kwako [emoji56][emoji56]
UgaliItakua nduguzangu wasukuma hao
Ila nawakubali aisee kunanyumba nilienda kuona wafiwa huougali ukimega tonge tatu umeshiwa nguvu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Skonzi
Anazo love wa jua kali[emoji1787][emoji2089]
Mtoto maini kabisa wewe
Sotojo kama lote
Na hivihuyu mchumi muoga sana wa kimasihara... mala nyingi namuita nimpe pindi la uchumi wa juu zaidi gheto anaogopa sijui kuna nini