upcoming tycoon
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 353
- 476
"Mabaharia vipi mbona mnaremba??"
"Haturembi sisi tunangoja ageuke!!"
Jamani makofi na vigelegele
Naimba tu mimi jamani
[emoji23][emoji23]Mungu anakupenda sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkacomment kwa da mange awape vichambo vyenuNimeiona dada,, sie tunaovaa mawigi kama katani tunacomment wapi eti jamani??
Asante queen! 💋
Hahhaha Mangi naona upepo wa kisulisuli umekuleta na kwangu piaAsante queen! [emoji182]
😂😂😂😂😂😂😂 inabidi vyuma niviingize kwenye maombiOohh basi sawa dada,, vyuma vikilegea nitakununulia zote ila vikiendelea kukaza nitakuanzishia uzi tu..[emoji1787][emoji1787]
😂😂😂Nimemjua hivi kumbe ni mtu mmoja yule
Ndiwooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ili amtishie mtoto anywe uji
Hahaha ila jf inachekesha sana sasa ili iweje jamani na mimi ngoja nitafute babe tucciane[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwambie mtoto akunywe uji uko nakuja kumgeukiaNdiwooo
Muhudumu: kaka karibu, nikusaidie nini?
Hazard : naomba safari
Muhudumu : kubwa / ndogo
Hazard : kubwa ya baridi
Muhudumu : niifungue?
Hazard : hapana nipe maji makubwa nimezeee
Cc. Hazard CFC [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanajaribu kutuonesha mahaba ya dhati 😂😂Hahaha ila jf inachekesha sana sasa ili iweje jamani na mimi ngoja nitafute babe tucciane
😁😁😁sawa dadaMwambie mtoto akunywe uji uko nakuja kumgeukia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja nikusaidie tu dada yangu, huko ni kwetu Nyasa Land Kyela (Mbeya), unyakyusani huko na huo ufukwe upo mbele ya hotel ya Land Mark Lake Nyasa.
[emoji849][emoji849][emoji849]
Kwani ndo nshakabidhiwa hivyo...!!Unamkonyeza mkweo[emoji134][emoji134][emoji134]
Ukimtoa Mshana Jr mnafikiri nani mwingine kaumizwa sana na hili tukio?[emoji23]
View attachment 1249946
Labda tumroge au tumpe hela
Hahhaha Mangi naona upepo wa kisulisuli umekuleta na kwangu pia