Twitani ila sijakuta ume tweet hata mara moja
Kwenye nini mjukuu wangu ?Nami sina kinyongo ntakuodhesha bila hiyana.

Why mkuu. Tweet leo tu basi
Alright. Let's get down to serious business. Dear Karma will you marry me ?Hadi hapo ushakosa vigezo,, next please..
Hahaha ndaga fyijo.
Wallahhhh Morocco habibView attachment 1250089View attachment 1250088
Ulikumbwa na nini hadi ukafikia hatua hiyo ?Nipo ila nilishaikacha account yangu
I have learnt that in life if you are too persistent NO can gradually become YESHivi unafahamu maana ya NO mkuu??
Yaani ni NEGOTIATION OVER![]()
Alright. Let's get down to serious business. Dear Karma will you marry me ?
Ulikumbwa na nini hadi ukafikia hatua hiyo ?
That thing aint African.Where's the goddamn ring?? And you gotta be down on one of your knees dude!!
Inaonekana ulikuwa unawa follow watu ambao hawakujengiTwitter hainibariki kabisa yani
I have learnt that in life if you are too persistent NO can gradually become YES
Hii snap ni 🔥🔥🔥
That thing aint African.
Inaonekana ulikuwa unawa follow watu ambao hawakujengi