Nitajaribu kutafuta za hukuItakuwa mpishi tu huyo
Siku hazifanani
Thanks, so as non-Muslim have you ever invited to join your neighbors/friends during their iftar meal?Asante sana
Enjoy your meal rafiki
OhoooHizi zinanogesha kwa bagia za kunde .. unaweza kukatia na kitunguu maji pia ..
Kwa bagia za dengu ni carrot , hoho na kitunguu maji sana sana
Huwa mnaanzaje na mchungajiSwali gani tena?

Hapana sijaalikwaThanks, so as non-Muslim have you ever invited to join your neighbors/friends during their iftar meal?
PakubwaHahahaha jamani
Kisa uone yanayoendelea jikoni
Ila hapo utabana sebule ujue ...sebule must be spacious .


Njoo stop overNitajaribu kutafuta za huku
Huenda zikawa tamu nikazipenda
HahahaSophy 27
Nilikusoma hapo juu
Eti wewe ni kibonge mwepesi
Ni kweli![]()
Msabato huyoThanks, so as non-Muslim have you ever invited to join your neighbors/friends during their iftar meal?
Nataka nijifunze kumpikia baba mtumishi anazkpenda.Njoo stop over
Kuna sambusa taaam balaa
Pepo mwenyeweHilo pepo![]()

MahitajiOhooo
Naomba unifundishe
Huwa mnaanzaje na mchungaji
Nani anamuanza mwenzake
Mkishakubaliana
Nini kinatokea sala ya toba
Ama ibilisi anashika usukani
Nimeuliza hili
Kwa sababu
Nimepata mfia dini akaniambia tupime
Tumepima kesho itakuwa mara ya tatu kwa miezi mitatu mitatu
Nitaweka vipimo hapa..


Pakubwa
Uvae skin tight wewe
Uwe mweku mweku wewe
Kifupi nisikie harufu ya pishi
Na mpishi mwenyewe![]()

AsanteMahitaji
Bagia za kunde
Nunua kunde kiasi chako
Kitunguu maji
Swaumu
Tangawizi
Unga wa ngano
Na vingine utakavyohitaji
Maandalizi
Osha kunde zako vizuri baada ya hapo loweka kunde zako kwenye bakuli .. ziache hapo kwenye maji kwa usiku mzima ili ziweke kulainika .
Kesho yake zitoe kunde zako kwenye maji halafu uweke kwenye kinu / blender / food processor ili uzitwange na kulainika wakati kunde zinatwanga kata mahitaji yako hiyo vitunguu na tangawizi baada ya kunde kusagika changanya vitunguu vyako kwenye mchanganyiko wa kunde weka na chumvi kwa ajili ya ladha ..
Andaa unga wa ngano vizuri na uanze kutengeneza vidunguli /vitonge vya duara huku ukishikizia na ngano ili isiweze kuachia ..
Baada ya hapo andaa mafuta kwenye karai yapate moto then uweke kunde zako zikageuka kuwa kahawia hapo epua zipo tayari kwa kula .
Hahaa!!
Pakubwa
Uvae skin tight wewe
Uwe mweku mweku wewe
Kifupi nisikie harufu ya pishi
Na mpishi mwenyewe![]()


I have next door neighbors that are Muslim and we have become friends, he invited me today.. am non muslim fasting for ramadan, Am fasting in a bid to achieve an excellent state of health.Hapana sijaalikwa