Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,499
- 235,200
Yaani bagia tu aina zote sijawahi kuzipenda.Ooh okay
Za kunde au dengu ndo huzipendi ?
Mimi nazipenda zote
Kuna zile zinakuwaga na uchungu fulani basi sijui naonaje.
Ila nikija kujua kupika sambusa yaani zitanikoma[emoji2]