Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,756
- 39,397
Yaani ni mnene juu chini mwembamba 😬Kichwa tena?[emoji2]
Yaani ni mnene juu chini mwembamba 😬Kichwa tena?[emoji2]
Kweli aisee zinanoga balaaa
Uziwekee kitunguu swaumu , tangawizi na pilipili kwa mbali .
Yaani ni mnene juu chini mwembamba [emoji51]
TukuoneYaani ni mnene juu chini mwembamba [emoji51]
Hizi zinanogesha kwa bagia za kunde .. unaweza kukatia na kitunguu maji pia ..Sidhani hata kama huwa wanaweka hivyo vitu
TuoneBasi we pacha wangu[emoji2][emoji2]
Hahaha yani watu sebuleni wanaanza kukufata taratibu huko jikoni .Na kitunguu maji pamoja na majani ya giligilani naanza kudokolea jikoni[emoji2]
Daah hatutofika mbinguni. NimeachaMama chungaji
Neemebarikoowa
Tuone
Ndio maana mjengo wanguHahaha yani watu sebuleni wanaanza kukufata taratibu huko jikoni .
Mimi mdokoaji pia yaani wanakuliza maswali hujibu maana una kitu mdomoni [emoji23][emoji23]
Hahaha yani watu sebuleni wanaanza kukufata taratibu huko jikoni .
Mimi mdokoaji pia yaani wanakuliza maswali hujibu maana una kitu mdomoni [emoji23][emoji23]
Bado nna swaliDaah hatutofika mbinguni. Nimeacha
Kama hivi kipenziHauna kapicha hapo tuonepo mikono ilivojaa ???😜😉
Swali gani tena?Bado nna swali
Kwako pia[emoji1787][emoji2089]
Yaani wewe. Umenikumbusha lile tege la siku ileKama hivi kipenziView attachment 2201625
hahahaaaKama hivi kipenziView attachment 2201625
Hahahaha jamaniNdio maana mjengo wangu
Jiko litizame sebule[emoji1787][emoji1787]
Kweli kabisaInabidi siku tupeane recipe za bites...
Yaani acha tu 😬😂😂😂Yaani wewe. Umenikumbusha lile tege la siku ile