Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Baada ya kazi
JPEG_20220426_162443_6199884036418236579.jpg
 
sikuwa nafahamu hili, umenifanya nianze kufatilia. Ingawa namshukuru Mungu nimefanya checkup mwili mzima, kuanza ini, figo , na kila kitu kipo okay
Ubaya ni kwamba haziko regulated na hakuna anayejua zinakotoka wala kilichomo. Labda ukizipata kwa Wachina au Wajapan wenyewe...na kumbuka kuwa dawa yo yote inayosaidia kupunguza uzito basi ini linahusika moja kwa moja. Ndo maana inashauriwa sana kutotumia dawa hizo kiholela tu.

Na endelea na hiyo tabia ya kufanya comprehensive annual checkup. Wanaume tuko wavivu sana na mambo yakija kugundulika yanakuwa tayari yako hatua za mwisho. Ndo maana tunakufa mapema.

Mwaka juzi nilipata scare ya kufa mtu na daktari alisema kuwa nina bahati ya mtende kwa sababu ningesubiri mpaka nianze kuumwa ingekuwa game over. Ukweli ni kwamba magonjwa mengi (yakiwemo kansa) yanaweza kutibika yakigunduliwa mapema.

Wanaume tuwe na tabia ya kucheki afya zetu angalau mara moja kwa mwaka. It can save our lives
 
Back
Top Bottom