Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

C4B648B5-C680-46D0-8362-1C37FAC1163D.jpeg
 
wew muongo

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Nakuambiaje achana soda hizo ni chemicals tupu, hizo ni rangi na sukari za viwandani, kunywa beer, hio ni ngano sawa na chapati.

Halafu ukitoka agiza lite beer achana na hizi strong beer kama balimi na safari hizo huziwezi, muambie mhudumu nipatie serengeti lite ya baridi, ugali na nyama choma, utanishikuru baadae😋

Lite beer kama seŕengeti lite, castle lite au heineken hutojutia, unaweza andaa andaa snacks pembeni, ukipiga na popcorn utanishukuru baadae.
 
Bia na popcorn 😂😂😂

Heineken na Desperados zidumu 🔥🙌
 
Nakuambiaje achana soda hizo ni chemicals tupu, hizo ni rangi na sukari za viwandani, kunywa beer, hio ni ngano sawa na chapati.

Halafu ukitoka agiza lite beer achana na hizi strong beer kama balimi na safari hizo huziwezi, muambie mhudumu nipatie serengeti lite ya baridi, ugali na nyama choma, utanishikuru baadae

Lite beer kama seŕengeti lite, castle lite au heineken hutojutia, unaweza andaa andaa snacks pembeni, ukipiga na popcorn utanishukuru baadae.
mwalimu uko vzuri
Ila kuniambia bia sawa na chapati hapana

Back
Top Bottom