Vuteni sanaWe are so high on plant, very high...
And we are not not coming down,
If pisi is with us she's not coming down either..
Utashtakiwa MIGA kwa kuukashifu mmea.Nyie wote mtakuwa wapuliza bangi
Naona imefika utosini sasa 😂Utashtakiwa MIGA kwa kuukashifu mmea.
Usiseme hukuonywa
Ni Kumaliga 🤣🤣🤣Yule afande mrefu akuwa akiitwa Kumalija unamfahamu?
Alikuwa getini
Bangi iliponishinda nikivuta nacheka mno, yaani nacheka balaa, hata kitu kidogo nacheka hatari.We are so high on plant, very high...
And we are not not coming down,
If pisi is with us she's not coming down either..
Safi....so far naona hulitaji taji tena bure jina la mmea wetuNaona imefika utosini sasa 😂


kuna school mate humu
Wakianza kusema ‘mimi sio raia bla bla hapo 🤣 ujue yatapanda mashetani ya ki TPDFYaani wanakuwa sweet daddy haswa ..
Sijui wanakuwaje huko kazini aisee wanafundishwa ukali tu![]()
Yaani ningekoma haswa ...alingangania nisome hapo baada ya siku mbili selection ndo zikatoka ikawa pona yangu .
Huyo jamaa dawa yake ni moja tu, ukiwa na kosa we ongea english hata kama haihusiani na kosa, mfano akikukamata labda umechelewa.Ni Kumaliga 🤣🤣🤣
Yule nilikuwa nina bahati nae mbaya.. daily nakamatwa, mara sketi fupi, mara nimenyoa kisahai, mara sijavaa mkisi, mara Matron mwangalie huyu.. mbona kama amejipodoa.. haya kanawe uje hapa unatiririka maji🤣🤣
Nikamwambia baba naomba tu ufanye mchakato nianze kuvaa jezi ya njano 🙌
Mbengo 🤣🤣🤣Mbengo zenafongokaaa
Kwa Jenaaa la Yesoooo
AriririiiiiNyie wote mtakuwa wapuliza bangi
Uhuni wangu nini?😂😂🤣🤣🤣🤣 mzabzab muhuni wa kitambo sana huyoo!
Kuna basics ulikosa mkuu.Bangi iliponishinda nikivuta nacheka mno, yaani nacheka balaa, hata kitu kidogo nacheka hatari.
Kitu kingine ni heart beat rate inakuwa juu sana mpaka inanipa mashaka, nikaachaga mpaka leo situmii mmea kabisa.
PepooooMbengo 🤣🤣🤣
Aliyeanzisha hii lugha abarikiwe sana 😂
Mbengooo utaisekeeeeaaaaaaaaaKuna basics ulikosa mkuu.
Ungezipata hizo basics unge reap benefits zote zinazokuja na plant.
Unamuhitaji mentor pale unapoamua ku engage kwenye a life changing adventure kama holly plant.
Kwa haraka haraka pia hukuupa mmea heshima yake kamili. Hili linadhibitishwa na namna umeu refer hapa
Wakianza kusema ‘mimi sio raia bla bla hapoujue yatapanda mashetani ya ki TPDF
Raia tutasemwa hapo as if ni hamnazo.
Pale bana kuna kiji experience tulitoka nako… hapaboi ingawa ni pagumu
Za bange?Ariririiiii
Ngoja nikuangalizie picha…
Me nilikuwa nishaanza kumuogopa, na alivyo barikiwa sauti kali 🙌Huyo jamaa dawa yake ni moja tu, ukiwa na kosa we ongea english hata kama haihusiani na kosa, mfano akikukamata labda umechelewa.
Kijitetea unaanza "is the branch of science which deals with the study of......" hapo utamsikia Kumaliga "haya shenzi toka nenda darasani haraka"😂😂
Alikuwa std 7, English ilimpiga chenga mno..
Ila usiulize kama nimesomea hapo.
Dada yangu alisoma hapo