Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ile mnaita kiwigi sijui? Me wakati mwingine uwa za kati naweka wave…

Hawa wazee wetu ni noma alitukatazaga suruali, binafsi nilisikia.. dogo aligoma… yule mtoto ni vijora, skin jeans na pensi.. sketi akivaa ni ya shule
Mshua aliongea mpaka akasahau

Anha itakuwa hiyo .. style ile huwa naipenda .
Hadi suruali alizuia huyo anaonekana mkali vipi nahisi ulisemaga alikuwa JW.

Zamani sisi tulikuwa tunamuogopa hivi wanajeshi sijui wanakuwaje sio kwa ukali huo .. rafiki yangu mmoja wakati tupo shule alisukaga vitunguu , Mzee wake alimngoa zile rasta .
 
Hao hao 🤣🤣

Wanakuwaga na mambo yao jau sana.. sema ilisaidia sana hata vijana wa hovyo mtaani hawawasumbui… dizaini ye anaogopeka mpaka nyie mnaogopwa

Khaaa huyo alizidi… mimi huyu kitu alizidigi ni kuna siku nilizingua akaenda kunichomea shule 🙌🙌
Ile siku nilikula stick jamani, na haya mashule yao venye wako na fimbo zao spesho 🤣🤣🙌🙌
 
Mweh sina hamu
Nakumbuka ilikuwa 2017 alinisema siku hiyo ikabidi niende kufuta.

Ukipaka inna hata hana shida na wewe ila aone turangi
Mie mzee wangu alikua hapendi nivae suruali nilikua na lijimtandio kuubwa nikitoka nalivaa kwa juu nikipotea tu usawa wa home nalitupia kwene begi speed town. Maisha yale sitaki kukumbuka.
 
Back
Top Bottom