Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Alikuwa na hela ngapi kwani?Kiasi cha hela yote
Alikuwa na hela ngapi kwani?Kiasi cha hela yote
Byuriful

,,, in that matter,, improving ain't an option
Kwa nini tusivae kaptura wakati tuna miguu mizuri?Sijamfikia mdogo wako anayevaaa kaptura![]()
Mweh kiazi cherema tu mie!!Toto kiuno nyigu, miguu sasa![]()
Nilimpa miatano.
Mbinguni nahisi nitaenda pekeangu ujue naona utaandamana kuniona peponi 😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣!!Sioni ukienda mbinguni mkuu 🤣🤣
Akiyanani🤣🤣🤣🤣
Hii movie ni nzuri, huwa napenda kutazama movie kwenye simu, hii ni nzuri mkuu?We ain't got enough paper to pay for cinema tickets,,, in that matter,, improving ain't an option
View attachment 2198118
Daah nimecheka sana aiseeIlikuwaje na car keys frijini? Au ndio kusema umeunganisha na opener
😂😂😂 nisaidie kupata jibu etiDaah nimecheka sana aisee
Kumbe kakichwa kako kadogo mdogo etu😍Hahaha
Take a look.. pic ya zamani kiasi View attachment 2198129
Itafute mzee iko poa kinomaHii movie ni nzuri, huwa napenda kutazama movie kwenye simu, hii ni nzuri mkuu?
HS mimi ni binti Abiyud kwa 98.9%
Kichwa kizuri kabisa hichoHahaha
Take a look.. pic ya zamani kiasi View attachment 2198129
Hata jibu sina aisee. Kazi sana😂😂😂 nisaidie kupata jibu eti