Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,679
- 208,836
Sijui ni style hiyo au ilikuwa nyingineKichwa kizuri kabisa hicho
Ukinyoa style unapendeza
🤣🤣 mshua wangu ni ananipigiaga wasap vdeo call, siku akapiga akanikuta na Style konki… akanambia kwanini umenyoa kama boda boda!? 😂😂😂
Next call nisikute hicho kiduku🤣🤣
Basi sahivi ni mwendo wa usabato tu