Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa kwanini hutaki kuamini nimekumiss[emoji3]

Yani nikikumbuka zile moment zako za ubishi humu huwa nacheka[emoji3][emoji3]

Ahsante nikija nitakuletea tilapia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inawezekana kweli ulinikumbuka mimi[emoji7][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]
Hivi nilikuwa mbishi eeh???

Nimepunguza sana siku hizi[emoji23]


Ewaaa nawasubiri hao tilapia fish[emoji7]

Naomba sasa mwaka huu uselfike jamani...tangu mwaka juzi tunakusubiri selfie yako hapa.
 
After church[emoji4]
20220423_133845.jpg
 
Protein kwa sana. Epuka vyakula vya mafuta. Kunywa maji ya kutosha. Piga tizi progressively (ukipiga push ups 100 leo, wiki ijayo ongeza mwili usizoee). Pata muda wa kutosha wa kulala. Pumzika angalau siku mbili bila tizi (hapa ndio mwili unakua). Cha muhimu zaidi, usiwaze sana kuvimba.
Asante sn..nimescreen huu ushauri
 
Back
Top Bottom