Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mmh Hilo tege my friend km praizi[emoji28]

Ila nasikia ukiwa na mwanamke mwenye tege huwezi kumwacha mana ni mta.... Au basi[emoji28][emoji28]

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Yaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli kama praizi kabisa
Huwaga naaangalia kile kichuma..nalinganisha na miguun yangu.
 
Ooh nice
Picha ipi hiyo ..Hapana sijui kwa nini
Garage mara mwisho kwenda ilikuwa 2012 .
Ulifika pale ulikua na tatizo kwenye hospitali ya wakorea, sijui ni shida gani uliyokuwa nayo, tulikaa pale pamoja, rafiki yangu alikiwa akihudumu hapo.

Nami nilifika pale nilikua na tatizo la kiafya, nikamuuliza nurse mmoja kama yule dokta wa kikorea anaweza kunielewa nikimwambia kiswahili akanambia "anaweza kuongea kiswahili kuliko hata wewe" halafu akacheka, nikamwambia "acha utani" huku nacheka, nakumbuka vyema sana.

Sasa nilijipiga selfie pale nilikuwa na Nokia Lumia ukawa umetokea kwa nyuma.

Sijui kama unakumbuka ama?

Na kawaida yangu huwa simsahau mtu.. au si wewe?
 
Back
Top Bottom