Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
Tulio mikoani unatuma hiyo mazaga zaga..Wangapi wako tayari kuja ktk mualiko wa kuja hapa kwangu kupata iftar kdg .
NB : MUALIKO WA WANA SELFIKA
Tulio mikoani unatuma hiyo mazaga zaga..Wangapi wako tayari kuja ktk mualiko wa kuja hapa kwangu kupata iftar kdg .
NB : MUALIKO WA WANA SELFIKA
Miguu mpaka fanny vyote ntafanya ukiniruhusu.Ya miguu?
Ulifika pale ulikua na tatizo kwenye hospitali ya wakorea, sijui ni shida gani uliyokuwa nayo, tulikaa pale pamoja, rafiki yangu alikiwa akihudumu hapo.
Nami nilifika pale nilikua na tatizo la kiafya, nikamuuliza nurse mmoja kama yule dokta wa kikorea anaweza kunielewa nikimwambia kiswahili akanambia "anaweza kuongea kiswahili kuliko hata wewe" halafu akacheka, nikamwambia "acha utani" huku nacheka, nakumbuka vyema sana.
Sasa nilijipiga selfie pale nilikuwa na Nokia Lumia ukawa umetokea kwa nyuma.
Sijui kama unakumbuka ama?
Na kawaida yangu huwa simsahau mtu.. au si wewe?

.umenikumbusha kitu mkuuacha tu, unaweza anza tazama phonebook
natumaje sasaTulio mikoani unatuma hiyo mazaga zaga..
Ulikua na mwanamke wa makamo hivi.Hahaha samahani napenda kucheka ngoja nicheke kwanza.
Nimependa ulivyoelezea mwenywe step by step nikuulize nilikuwa na nani pembeni ?
Hapana sikumbuki yaani .. itakuwa si mimi .
WeeMiguu mpa
Miguu mpaka fanny vyote ntafanya ukiniruhusu.

Ulikua na mwanamke wa makamo hivi.
Ah basi itakua nilikufananisha
Lakini pia English Masaki nilishaona mtu kama wewe.
Ujue kinachopelekea niku mark unafanana saaana na mtu fulani, thats why naku mark sana, ila leo nikaona nikutolee uvivu.
mmmhWee
Miguu yangu mimi mwenyewe nikijishika tu nastuka..naogopa mno kujitekenya..mwili unasisimka..sembuse mtu aishike??
😃😃misitu iliyo active muhimuumenikumbusha kitu mkuu
hahahahaOkay nilienda hapo kwa tiba ya Ulcers na Mama
Ila ni muda sana umepita .
Hapo English Masaki bado sijaenda ..nimepanga tu siku niendapo vipi unasali hapo ?
Huwa naambiwa nimefanana na watu wengine mara nyingi ... Kwako itakuwa nimefanana mtu mwingine
Guu la kimataifaHiki kimini cha leo ni bwana wa majeshi asimame tu kwakweli hakuna namna.
Stay tuned baadae kimini skirt kitaonekana kikiwa kimeuvaa mwili.
View attachment 2197548
Habari za miaka?Okay nilienda hapo kwa tiba ya Ulcers na Mama
Ila ni muda sana umepita .
Hapo English Masaki bado sijaenda ..nimepanga tu siku niendapo vipi unasali hapo ?
Huwa naambiwa nimefanana na watu wengine mara nyingi ... Kwako itakuwa nimefanana mtu mwingine
hahahaha😃😃misitu iliyo active muhimu
Habari ?hahahaha
AiseeUlikua na mwanamke wa makamo hivi.
Ah basi itakua nilikufananisha
Lakini pia English Masaki nilishaona mtu kama wewe.
Ujue kinachopelekea niku mark unafanana saaana na mtu fulani, thats why naku mark sana, ila leo nikaona nikutolee uvivu.
Nzuri tu vipi wewe ?Habari za miaka?
mkuu kwa sabena inayotaka dar es salaamnatumaje sasa
Kunimiss
Greencity karibu sana aisee...usisahau tu makoti![]()