Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,149
- 28,857
Sawasawa ngoja nitulie nikutumieMahondaw nipe instagram yako.



santo sana Hensamu@mahondwa nimefanya kama ulivotakaView attachment 2197378



! Siku nyingine utoe kabisa hio emoj sasa!
Mmh Hilo tege my friend km praizi



Nilikuwa kidogo najipa off maana mambo ni moto sanaaAlafu ulipotelea wapi?
Weee Usinambie!!!! doh nimependa body ivojaa misuli Umenouga hatariHuyu ndy mimi wa sasa mahondaw
!


Naomba nikupe masajiii.
Humu sio wote wanapenda TDH bwana hata nyie mnapendwa pia...kukuwekea kauzibe tena???
Kwani wewe haupo ktk like kundi la TDH (Tall,dark and handsome)?
.Nilipoona hiyo campaign hapa jf nikainua mikono juu nikasema hapa sina changu maana sina hizo sifa zote,nikasema wanawake wote wa if kuanzia leo ni dada zangu
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kali kinoma🤣Mama una tege moja matata sana![]()
Usitoke asahivi natupiaNasubiri

ila ushabiki wa mpira ndio nilishindwa sababu ya shombo kama hizi.Mimi nishayazoea siku hizi 🤣Cha msingi hapa tuishi nayo tu...
Acha tu, nikarudi home staring akafa zake na picha likaishaKabisa aroo
Kama nilikuona kwa Wini jana![]()
Kwangu ni yeyote mwenye vigezo vya kuwa mwanaume kamili ilimradi awe anapumua









!!!Pole
Japo umeninunia boss ledi ila umependeza🤣🤣Have a wonderful blessed and an enjoyable weekend dears!View attachment 2197355