Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,149
- 28,857
Hapana,uko vizuriUnoneee wapi
Goti limeviringika kama Mpira![]()
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hapana,uko vizuriUnoneee wapi
Goti limeviringika kama Mpira![]()
Wewe siyo wa Kusema hivi,umeziona picha zangu nyingi snTupia tu mwenyewe itapendeza zaidi![]()
Sikuisave, si utuwekee tena hapa jaman.Strawbella mcheki kelsea akupe pic yangu aliyoniona..Case closed
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
@Satoh Hirosh Anaelekeana na Van viker shangazi!


Sikuisave, si utuwekee tena hapa jaman.


Wewe siyo wa Kusema hivi,umeziona picha zangu nyingi sn
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app




mfanyie wepesi shangazi dokta pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!Pambana wewe... unalegezaje haraka hivyoo.. hata Urusi kachukua majimbo ya Ukraine kwa kupambanaaChakorii kasema nimechelewa,ameshawahiwa
So niwe mpole tu
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Huyu namtetea labda azingue kweliAu na yeye analeta michongo ya wige![]()
Kamba umeanza lini kaka wa dimpoz?
Van viker..Ngoja niende Google nikamwone Van viker niliyefanana nae@Satoh Hirosh Anaelekeana na Van viker shangazi!
Acha tu, nikarudi home staring akafa zake na picha likaisha

Hivi unasema kwamba kuna siku niliweka picha yangu full? Mbn sikumbuki hataSikuisave, si utuwekee tena hapa jaman.
Eeeh! kazi ya mtanga Nuzulati sio ya kuchezea
Sio full lkn mtu akikuangalia anapata picha kamili ya muonekano wakoHivi unasema kwamba kuna siku niliweka picha yangu full? Mbn sikumbuki hata
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Huo ndy ukweli mtoto wa mbeyaKamba umeanza lini kaka wa dimpoz?
Weka basi jamanHivi unasema kwamba kuna siku niliweka picha yangu full? Mbn sikumbuki hata
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mjomba wako yupo kibaruani shangazi anatafuta mbili tatuuAsante mjomba...
Sorry..hivi kabla ya hili jina kelsea I'd yako iliitwajeSio full lkn mtu akikuangalia anapata picha kamili ya muonekano wako