Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Humu sio wote wanapenda TDH bwana hata nyie mnapendwa pia.
Tena ni wewe na Strawbella ndy mlikuwa na mjadala mkali Kwa hao TDH [emoji28]

Sasa Sisi wafupi na wenye rangi kidogo hatujapenda kutokuwa handsome,black na warefu jamani,tumejikuta Tu Yuko hivi...mtupende km tulivyo tu[emoji28]

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Mbona wewe ni handsome face kabisa
 
Tena ni wewe na Strawbella ndy mlikuwa na mjadala mkali Kwa hao TDH [emoji28]

Sasa Sisi wafupi na wenye rangi kidogo hatujapenda kutokuwa handsome,black na warefu jamani,tumejikuta Tu Yuko hivi...mtupende km tulivyo tu[emoji28]

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] usitishike bwana humu ni mchanganyiko hata wewe una soko lako ujue.
 
Back
Top Bottom