Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Kelsea
Anaupiga mwingi sana
Chenga kama morrison
Ukitaka kujua anavyo dilibo
Uliza i'd yake




Kelsea




Mhusika
Kisha elewa![]()
Haya rafikiMida
Ngoja niingie mizani
Nikitoka nakurushia
Wife alifanyajeHuyu namtetea labda azingue kweli![]()
Wige ndio katuchinjia mbali
Pambana wewe... unalegezaje haraka hivyoo.. hata Urusi kachukua majimbo ya Ukraine kwa kupambanaa

..Tabia ya ufisi siyo poa,mwache mwanaume mwenzio afaidi Wige alituahid pic akatukimbia hadi leo
Shangazi tupia basi, nikalaleHaina shida mjomba,maisha kupambana...
Na haya matege nivae mini Tena???Uvae vimini sasa
Mi nguo ya ki Abihud
Inatunyima kuona tege hilo
😀 😀 😀 umeachia kitu kile ningekuwa mie hadi damu ya mwisho.. sema ndio hivyo nimewahiwaa tu..Tabia ya ufisi siyo poa,mwache mwanaume mwenzio afaidi
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Edit hapo basi
Asante sana kwa kamba
Hivi Kelsea ndy Depal ? Ni mjanja mjanja Kama Depal..Kelsea
Anaupiga mwingi sana
Chenga kama morrison
Ukitaka kujua anavyo dilibo
Uliza i'd yake![]()


Haha hizo za wakubwa bwasheeLC300 hii pamoja na GR Sport wametoa kitu.. Mda si mrefu najua umo ndani ya nyumba kuna mahala nilizikuta GR Sport kwenye vitengo vyenu kama tatuu hizi


Ila hujanijibu swali languWige alituahid pic akatukimbia hadi leo
Swali gani rafiki?
siwezi kukuongopea.Magoti yako yamenawili ingawa mwili wako siyo mneneAsante sana kwa kamba
mkubwaaa si ndio mwenyewee bwanaaa afisa mwandamizi ajae 😎😎Haha hizo za wakubwa bwashee![]()