Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tena ni wewe na Strawbella ndy mlikuwa na mjadala mkali Kwa hao TDH [emoji28]

Sasa Sisi wafupi na wenye rangi kidogo hatujapenda kutokuwa handsome,black na warefu jamani,tumejikuta Tu Yuko hivi...mtupende km tulivyo tu[emoji28]

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app

Mjomba hata hujatuelewa sisi hatutaki TDH wanazingua sana...

Tumehamia kwa Nerds/Geeks [emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom