Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,835
Umegusia jambo la msingi sana. Wenzetu wanapambania legacy. Yaani ni kitu cha muhimu sana kwao. Wakiondoka watakumbukwaje. Unakuta mtu anaishi maisha ya kawaida kumbe ana vimilioni vyake kadhaa ameviweka kwenye trust na ameandika will kabisa kuwa akifa vyote vipelekwe kwenye chuo au shule fulani vikajenge jengo ambalo litapewa jina lake iwe kama kumbukumbu ya kudumu. Ndiyo maana ukienda kwenye vyuo vikuu vyao utakuta majengo karibu yote ni majina ya watu. Utakuta SYB School of Economics. Ukiulizia huyo SYB alikuwa nani utapewa historia yake yote na kiasi cha pesa alichotoa kujenga jengo hilo. Na uzuri majimbo mengi pia wana matching program. Yaani SYB akitoa milioni 10 kujenga jengo serikali ya jimbo nayo ni lazima itoe milioni 10. Hivyo mjengo wa dola milioni 20 unajengwa lakini unaitwa kwa jina la SYB kwa vile ndiye initiator. Legacy!Aah dadake Junia atatoboa tu, Mungu ni mwema sana. Huko wenzetu nisiseme kwamba hawajali sana kuhusu familia; ni kwamba majority wanahangaika kuhakikisha mwisho wa maisha yao wanaacha alama ya kudumu kwenye maisha ya watu; they are purpose driven. Kila mtu anataka ahakikishe anatimiza kusudi lake hapa duniani; hata siku akiondoka watu bado wataendelea kufaidika na vitu alivyovifanya akiwa hai. Maisha ya kutokujiwazia wewe na familia yako; na kugusa maisha ya wengine zaidi; ndiyo maisha bora zaidi humu duniani. Sisi huku tukishaolewa, tumepata watoto, kanyumba na kausafiri aaaah maisha ndiyo haya; Yesu rudi tu.
"Vitu unavyovifanya kwa ajili yako, vitakufa siku ukifa; lakini vitu unavyovifanya kwa ajili ya wengine vitaishi hata kama ukifa"
Barikiwa Mtumishi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ah wapi nyie sio wakuwaonea huruma pambaneni na vita yenu🤣🤣🤣🤣Sio kuplay victim
Wanawake tunapitia mengi bhana mtuonee huruma
Akiyanani nimecheka 😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌Shida inakuja pale ambapo "everything seems to be ok". Unaona unapendwa, unajaliwa, unathaminiwa na unaona jinsi mwenzio anavyopambana. Wanaume wengi wasipokuwa na hela eeeeh unasema Jehovah nikurudishie nini. Na hapo ndiyo wengi tunapokwama nao😁😁
Ah wee hawa wanakuchana live tuu. Sasa unakuta huyo demu ndio ulishampendaMwanamke anayejielewa hawezi kukwambia hivyo hata kama kweli una kibamia cha kufa mtu. Na hata akisema hivyo we si umeshamchafua? Na kupiga bao (kumchafua) si ndiyo lilikuwa lengo lako? Kwa nini uumie wakati umelinda heshima ya ukoo (japo umeharibu CV)? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hebu kuwa sweet kwetuAh wapi nyie sio wakuwaonea huruma pambaneni na vita yenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona tunakuwa sweet sana kwenu mremboHebu kuwa sweet kwetu
Acha ubishi [emoji23][emoji23]
Mmh wapiMbona tunakuwa sweet sana kwenu mrembo
Mmh wapi
Ndo muwe mnatupenda pia sio kutufanyia ndivyo sivyo
Viumbe nyie[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wige Mbavu zangu please!! "Eti jirani yangu"[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Well articulated Mtumishi. Aisee na sisi tupambane tuache legacy.Umegusia jambo la msingi sana. Wenzetu wanapambania legacy. Yaani ni kitu cha muhimu sana kwao. Wakiondoka watakumbukwaje. Unakuta mtu anaishi maisha ya kawaida kumbe ana vimilioni vyake kadhaa ameviweka kwenye trust na ameandika will kabisa kuwa akifa vyote vipelekwe kwenye chuo au shule fulani vikajenge jengo ambalo litapewa jina lake iwe kama kumbukumbu ya kudumu. Ndiyo maana ukienda kwenye vyuo vikuu vyao utakuta majengo karibu yote ni majina ya watu. Utakuta SYB School of Economics. Ukiulizia huyo SYB alikuwa nani utapewa historia yake yote na kiasi cha pesa alichotoa kujenga jengo hilo. Na uzuri majimbo mengi pia wana matching program. Yaani SYB akitoa milioni 10 kujenga jengo serikali ya jimbo nayo ni lazima itoe milioni 10. Hivyo mjengo wa dola milioni 20 unajengwa lakini unaitwa kwa jina la SYB kwa vile ndiye initiator. Legacy!
Na tabia hii ya kukazania legacy ndiyo imewafanya kwa kiasi kikubwa waondokane na ufisadi huu wa kijinga kama tunaofanyiana huku. Huwezi kula hela za barabara au za visima vya maji kwa sababu kwanza utafungwa na utaharibu legacy yako mazima. Wenzetu hawawazi tu matumbo yao na familia zao. Ndiyo maana hata utajiri wao ni generational. Watoto, wajukuu, vitukuu, vilembwe....kamwe hawatakubali jina la familia life na watapambana kufa na kupona kuhakikisha kuwa biashara inaishi. Akina Ford. Akina Toyota. Akina Benz. Akina Boeing.....
Unakuja kushtukia kitu kizito kimekushukiaAkiyanani nimecheka 😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌
Eti Jehovah nikurudishie nini 🤣🤣🤣🤣🤣
Wapo wanaopenda tall dark guys na wapo wale yoyote yule anayefaa .Nyie tunaobwapenda mnasema hatupo tall dark and handsome
Dhou (lugha zenu[emoji849])Well namshukuru Mungu naendelea vyema
Slightly coughing tu ...
Bado sioni hamu ya kula though .
Wee cha msingi tuwape pesa nyie mtupe mbususu haya mambo ya kupendana kwa huu mwisho wa dunia hayapoWapo wanaopenda tall dark guys na wapo wale yoyote yule anayefaa .
Hahaha huu mjadala hauishi leo
Naona unaanza kunitangaza tararibu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaan wewe hukunielewa, mpenzi anapatikana popote tu lkn muda wa kuingia love connect huo ndio sina zingatia hili. Nilishadate mtu humu tena nilimpata hapa hapa Selfika lkn tulianza kwa namna nyingine kabisa kabla hatujafikia kudate. Sijasema hamna wanaume wa kudate humu wapo sana ila ni uchaguzi tu nje ama ndani.
Dhou (lugha zenu[emoji849])
Huyo ndio mchumba sasa
Shikilia
Ng'ang'ana tule kitu inaitwa
Bompondyaali [emoji1787][emoji1787]
KomaaYou'll be okay