Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Kiasi chakeHivi Jua kali ni nzuri eehh! Yani mimi drama za kiswahili naangalia huba tu...za mbele ndio napenda mnooo!
Ya bia jamaniKwani hujaona
😂😂🤣🤣🤣🤣 Wige Mbavu zangu please!! "Eti jirani yangu"😂🤣🤣😂😂😂Kiasi chake
Naangalia
Halafu naenda kusimulia
Totoz za kigali
Niliwaonyesha picha nilipiga
Bahati mbaya na Diamond
Hapo mlimani
Nikawaambia jirani yangu huyu
Wakaamini
Halafu ndo vile
Inauma sanaUchumba nao ukishakua sugu ndio utakuta vijana wanasema ni warm up. Poleni sana warembo, tunajua mnapiyia mengi sana.
View attachment 2195394
Habari ya leo ?Hello T
Salama T,, umepona?Habari ya leo ?
Nzuri sanaaaaaaaaHivi Jua kali ni nzuri eehh! Yani mimi drama za kiswahili naangalia huba tu...za mbele ndio napenda mnooo!
Nzuri sanaaaaaaaa
Well namshukuru Mungu naendelea vyemaSalama T,, umepona?
You'll be okayWell namshukuru Mungu naendelea vyema
Slightly coughing tu ...
Bado sioni hamu ya kula though .
ThanksYou'll be okay
Uwanja kama wa IlboruThursday ni Sports and games!View attachment 2195456
Haya mambo hayana fomyula mtumishi. Ni sandakarawe ya kukata na shoka yaani (japo makosa mengi anabebeshwa mwanamke)....Mungu na Awasaidie sana kwa sababu hakuna namna ila ni mtihani wa kutisha mno!Mtumishi Mimi kwa upande wangu; mabinti wengi ninaofahamiana nao na wapo above 30; wengi wamejikuta umri huo bilabila kwa sababu ya uvumilivu/loyalty yao. Walianza mahusiano high school na wengine vyuoni na hao maboyfriend wakiwa na matumaini ya kuja kuspend the rest of their lives pamoja. So hata walipotokea watu wengine wenye nia za kuwaoa; wao walikataa kwa sababu waliamini tayari wana mahusiano yao serious yatakayozaa ndoa. Wanaume walipoanza kusimama kiuchumi ndiyo wengi walianza kuonesha makucha yao and eventually waliishia kuwaacha Wanawake wao wa zamani; wakaoa mabinti wapya kwao.
Wanawake Mungu atusaidie tu kwa kweli; unakaa na mtu mkihustle miaka na miaka afu unakuja kuachwa solemba. Umri umeshaenda jamii inakusimanga, huku bado unaonekana ni malaya umetumika miaka mingi na ex wako, umebaki na majeraha ya moyo. Ila pia ungemuacha huyo mwanaume wakati bado hajiwezi kiuchumi, ukaenda kuolewa kwingine; ungelaaniwa hadi makaburi ya kwenu teh.
Sio tu Wanawake hatujui tunachotaka, hata wanaume hawajui pia wanachotaka. Na kiukweli wapo wanaume wengi tu ambao wameoa bado uchumi wao ukiwa unasuasua; ila bado comments za wanaume zitakufanya uhisi wote waliooa wana hela au kwenye ndoa zao hawapitii changamoto za kiuchumi kabisa; yaani hakuna wanaume waliooa ambao hawana hela.
HakikaKabisa na usiolewe sababu fulani kaolewa au nawaona wenzangu angalia nafsi yako pia Omba Mungu akupe kulingana na hitaji la moyo wako bila hivo hutoboi
Duh mtu miaka inakatika tu haoi.Mtumishi Mimi kwa upande wangu; mabinti wengi ninaofahamiana nao na wapo above 30; wengi wamejikuta umri huo bilabila kwa sababu ya uvumilivu/loyalty yao. Walianza mahusiano high school na wengine vyuoni na hao maboyfriend wakiwa na matumaini ya kuja kuspend the rest of their lives pamoja. So hata walipotokea watu wengine wenye nia za kuwaoa; wao walikataa kwa sababu waliamini tayari wana mahusiano yao serious yatakayozaa ndoa. Wanaume walipoanza kusimama kiuchumi ndiyo wengi walianza kuonesha makucha yao and eventually waliishia kuwaacha Wanawake wao wa zamani; wakaoa mabinti wapya kwao.
Wanawake Mungu atusaidie tu kwa kweli; unakaa na mtu mkihustle miaka na miaka afu unakuja kuachwa solemba. Umri umeshaenda jamii inakusimanga, huku bado unaonekana ni malaya umetumika miaka mingi na ex wako, umebaki na majeraha ya moyo. Ila pia ungemuacha huyo mwanaume wakati bado hajiwezi kiuchumi, ukaenda kuolewa kwingine; ungelaaniwa hadi makaburi ya kwenu teh.
Sio tu Wanawake hatujui tunachotaka, hata wanaume hawajui pia wanachotaka. Na kiukweli wapo wanaume wengi tu ambao wameoa bado uchumi wao ukiwa unasuasua; ila bado comments za wanaume zitakufanya uhisi wote waliooa wana hela au kwenye ndoa zao hawapitii changamoto za kiuchumi kabisa; yaani hakuna wanaume waliooa ambao hawana hela.
Dada unyweleLeo ni alhamisi
Tbt View attachment 2195461
Warembo wa JFLeo ni alhamisi
Tbt View attachment 2195461
Ooh thank youDada unywele
Throw back Thursday