Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Aisee inakera muda mwingine ukute sasa hata huchagua watu kihivyo .. upo zako tu unasubiri aje anayefaa tu .

Ni fikra tu za watu ,Halafu wao wanahisi wanaume ni waoji kumbe si wote .. wengine Ni wapitaji tu .

Wanawake inabidi tutiane moyo ila inakuwa otherwise kama ishu hii ya lulu na Mange aise sio fair kabisa
Iv Mange na Lulu wana ishu gani hii sijasikia

Mie bwana mtu akinisema namuangaliaga tu, kama anataka sana ndoa akaolewe yeye.
 
IMG_20220421_102929.jpg


Sent from my M2103K19G using JamiiForums mobile app
 
Yaani kuolewa usiolewe wewe halafu anayehangaika mwingine.
Yaani sisi watanzania bwana
Wanasababisha watu wajisikie vibaya..yaani nakuelewa sana.

Mimi pia nina dada yangu,huwa najaribu kumuweka sawa kwamba asitafute kuridhisha watu ambao hata hawamnufaishi kwa chochote.

Sie ambao tunafuatilia watu wanavyotuambia tuna shida eeh ..
Watz ndo tulivyo hahha mtu humjui sema sasa unavyohangaika nae .

Nimekumbuka ile video inatrend yule mdada anasema sio lazima kuolewa .
 
Kuna rafiki zangu wawili
Kwa nyakati tofauti wananiambia
Hivi D si uzae hata katoto kamoja!?

Tumbo ninalo Ok, nazaa na nani sasa? Hawa watoto wa mama mkwe waliolamba ugolo? Hapanaaa
Achana nao hii dunia ukisema ufanye mambo kuwaridhisha walimwengu utakufa kabla ya wakati. Nakutana sana na watu wa aina hii wakianza huu ujinga nanyamaza wakiendelea ni jibu moja tu wote kimya wasinipangie.
 
Kuna rafiki zangu wawili
Kwa nyakati tofauti wananiambia
Hivi D si uzae hata katoto kamoja!?

Tumbo ninalo Ok, nazaa na nani sasa? Hawa watoto wa mama mkwe waliolamba ugolo? Hapanaaa
Ni ubinafsi mkubwa sana kuzaa kisa tu wewe umejisikia kuwa na mtoto bila kujali welfare ya mtoto wako. Wewe utapata raha una mtoto; huyo mtoto atapata raha kuwa na baba asiyeeleweka? Sidhani kama kuna mtoto anayetamani kuzaliwa In a broken relationship, alelewe na mzazi mmoja kwenye simu. Hawa wababa wenyewe ambao tunaishi nao ndani lakini malezi yote anayafanya mama; sembuse baba aliyepo mbali. Tuwahurumie hawa watoto aisee, tusiwape trauma zisizo na msingi intentionally kisa tu matamanio yetu ya kuitwa mama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna rafiki zangu wawili
Kwa nyakati tofauti wananiambia
Hivi D si uzae hata katoto kamoja!?

Tumbo ninalo Ok, nazaa na nani sasa? Hawa watoto wa mama mkwe waliolamba ugolo? Hapanaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Japo kuzaa mapema ukapumzika zako pia kuna raha yake!!!!
 
Lulu na Mange wamefanyaje!? sina Mb za kwenda instagram


Mjep sababisha mzee diefyuuug
Bonge moja la bifu aisee
Mange kaanza kusema lulu kachafua Hali ya hewa wahi kwa app , sasa lulu akaja kushusha povu kwenye comment aisee kumbe Mange naye alikasirika akaanza kufukua makaburi aisee na kuanza kumsema mama yake lulu dah . .

Kaweka picha za lulu enzi yuko na vibukta aisee huku anamchamba baadae. Insta wakafta post anayomchamba ndo amehamia kwenye app huko msuto unaendelea

Nampenda lulu kwa hili Mange amekosea sana yeye amegeuka kuwa bully kwa wasanii kila siku yupo na umbeya usio na faida ..

Napenda ubuyu ila Hadi nimemunfollow Mange aisee linakera
 
Ila uzae kwa utaratibu sahihi. Sio unazaa unaokoteza mababa huku na kule kisa kuzaa mapema raha. Kesho na kesho kutwa watoto wanavyoanza kuulizia mbona hawawaoni baba zao, utajutia sana ubinafsi wako.
yeah kwa utaratibu sahihi... Lakini changamoto ya umri pia itawatesa sana wanawake na jamii sijui kwanini huwa inawachukulia tofauti wanawake ambao umri umeenda ila hajaolewa tofauti na mwanaume ambae umri umeenda ila hajaoa... Hivi Kwanini??
 
Back
Top Bottom