Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Mfumo dume na pia Waafrika tunapenda sana kupangiana maisha. Nafikiri pia wengi wetu hata hatuna furaha na maisha yetu; so tupo busy kumalizia machungu yetu kwa wengine at least inatupa faraja kwamba we are better off than them kwa sababu tuna ambavyo wao hawana. Mtu mwenye furaha na maisha yake, hasumbuki na maisha ya wengine; sanasana atakutia tu moyo kwamba relax wakati wako utafikayeah kwa utaratibu sahihi... Lakini changamoto ya umri pia itawatesa sana wanawake na jamii sijui kwanini huwa inawachukulia tofauti wanawake ambao umri umeenda ila hajaolewa ... Hivi Kwanini??