Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Heee
Sisi tulikuwa tunaongelea new kapo in town

Wewe ile inakuhusu nini??

Wewe Dada,sisi tulichofanya ni kuchanganya zaidi mambo uliyoyachanganya mwenyewe.
Hakuna pahala Simeongelea new kapo wala new bakuli ! Niwache pullliiizzzzzzzzzzzzzzz sina muda nawewe.
Mie Nakupuuzia [emoji2210][emoji2210]
 
Hakuna pahala Simeongelea new kapo wala new bakuli ! Niwache pullliiizzzzzzzzzzzzzzz sina muda nawewe.
Mie Nakupuuzia [emoji2210][emoji2210]
Sisi ndio tuliokuwa tunaongelea new kapo

Sasa wewe kilichokukereketa hasa ni nini?

Hakuna sehemu tumekushika mbona,tukuwache vipi na wakati hatujakukamata jamani?
 
Mama Mchungaji katika ubora wako! Simple, elegant, gojazi, classic! Hivi ulisema Baba Mchungaji naye yuko nje ya nchi ama? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Baba Mchungaji amesema soon utakuwa prayer point yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom