Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nina siku mbili nimeshindwa kwenda shambani, mgongo una nisumbua sana Mjukuu. Niliongea na wenzako wanasema ni zamu yako kuniletea dawa za kuchua.

Fanya mpango uniletee hizo dawa niweze kujichua mwenyewe, wazee hatuwezi kukaa bila kufanya kazi [emoji2957][emoji87]
Usiwaze babu vipi nikuletee Usiku juu ama kesho [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji1787]!!??
 
Chimbo!

Heineken [emoji39][emoji39]
20220417_133652.jpg
20220417_133706.jpg
 
Dadako mkono wa makonzi Uko vizuri.

Sasa wewe jichanganye utoke nje ya mstari[emoji1787][emoji1787]
Uwiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie mbona unataka unipige kabla sijala ubwabwa???



Akiyanani nimeacha ukorofi mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom