Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Oi wana selfika siku mkiona red ferrari mitaa yeyote bongo afu nyuma kuna jina Ur235,, basi mjue ni mimi,, usisite kusimamisha na kuomba lifti[emoji41][emoji41]
IMG_20220419_201317.jpg
 
Mtasifia mafundi bure tu. Nyie vimodo hata mtu awe hajawahi kushika cherehani akiwashonea mnapendeza tu! [emoji16][emoji16][emoji16]

Mjomba mimi sina bahati na mafundi wa kushona kabisa,ndio maana sipendi nguo za kushona sana maana huwaga wananitolea mifuko ya mashine sasa sijui ni hii namba tisa?[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom