Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23]Ile ulipo nipo mpendwa imenifanya niwe mtoto mwema najua unapita kimya kimya[emoji1495][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kidole changu kilishindwa kuvumilia kuruhusu hekima yako ipite bila kuaplishet.
Hii..."ulipo nipo"... inaenda kuninyima raha ya humu[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kidole changu kilishindwa kuvumilia kuruhusu hekima yako ipite bila kuaplishet.
Hii..."ulipo nipo"... inaenda kuninyima raha ya humu[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hapana mpendwa hii ...“Ulipo nipo”..Imenibadilisha mpendwa nimekuwa mtoto mwema sipendi ugomvi wala ligi za kuumiza kichwa 😀😀😀
 
Hapana mpendwa hii ...“Ulipo nipo”..Imenibadilisha mpendwa nimekuwa mtoto mwema sipendi ugomvi wala ligi za kuumiza kichwa [emoji3][emoji3][emoji3]
Tuwe huru tu mpendwa, wi a famili,kwa uzee huu nilio nao hata ya hovyo siwezi kufanya[emoji1][emoji1][emoji1]
Ila najuta kuwahi kuzaliwa na kuwahi kuzeeka... Nyie watoto wa siku hizi ni wazuri jamani mweee...
 
Back
Top Bottom