Ninachoona unajiingiza tu kwenye drama ambazo ungeweza kuziepuka tu, ukaendelea na ndoa yako kwa amani. Mlishaachana, humuhitaji; ila kutwa unaingizwa kwenye magomvi sijui unaanzishiwa threads za majungu (as you said); kwa nini wewe unaingizwa kwenye mambo yake na wakati wewe ni ex?
Kuachana sio ugomvi; ila I can imagine mume wangu awe na ex ambaye ni best friend ake forever. Aaaah thubutuuuuuuu
Sent using
Jamii Forums mobile app