Selfika na JF: Snap it. Show it

weeeeeeeehhh za kawaida sana mama mchungaji Acha Utani!!! Hiko kipindi Nilikoma !! Mtu unaanzishiwa nyuzi pipoz kama zote zinakunanga na kukuchamba juu plus bwana yupo huru anajiachia nakuutetea upande wa pili live live Huku watu wanaona wewewewewewewewe!!
Eti leo hii ......hiiiiiiiiiiiiii over my dead body!
 
Yalishapita ila nashangaa yameibukia wapi wakati hapa Kati hali ilikua shwari kabisa kila upande ulikua na furaha na amani teleeee.. ghaflaa tu yameibuka. something fishy !
Maybe cc wa saizi haiamini nafasi yake, au anapenda tu league, au anahisi labda wewe bado ni threat kwake which isnโ€™t true.. ndo mana mashambulizi yamekurudia kwa kasi.. maybe.. nimesema tu jamani..
 
Sasa tuliachana kitambo ujue .... sijui imekuaje tena.. Sijui..
Ni maisha yako lakini kuna milango umeiacha wazi. Au bado mnatakana. Kupasha kiporo labda...

Lakini itabidi ifike mahali Boss Lady uachane na hizi drama. Hata kama siyo kwa ajili ya mumeo. Do it for the sake of your kids. Vimalaika vyako vile vyema. Mambo ya mitandaoni humu huwa hayafutiki. Watakua na kuyakuta tu....

Uko mrembo hasa mama halisi wa Kiafrika. Msomi!...Sioni sababu ya ulimwengu wote kufahamu mambo yako ya private...labda kama ni strategic na unajua unachokifanya....After all ni maisha yako na una uhuru kamili wa kuyaishi utakavyo japo....
 
Aisee sijui nilikuwa nimeokoka kipindi hicho; mbona yalinipita? Best friend ever..
 
Too much sense Prof....
 
Uwe na usiku mwema pia boss lady
 
Uwe na amani bosi ledi. Ahsante sana, uwe na usiku mwema pia.
 
Asante kwa ushauri ila japo Sinaga drama mie nipo so real!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ