Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwa kweli. Wanaume ikija kwetu ni no excuse ya kuchepuka.

Ashikilie ndoa yake, na heshima yake yeye binafsi pamoja na mumewe. Kila siku unahusishwa na drama za ex mchepuko; kwako binafsi tu sio heshima
Mimi nawaza ghafla mumewe anaibuka na kuinyaka picha matata ya boss wetu humu amebinuka serekasi.

Maana kama alitubu na kumwambia kila kitu sidhani kama huyo mwanaume hakuwa curious japo kusoma kilichokuwepo na kusoma kinachoendelea.
 
Sihusiki hata chembe... nilishatoka huko kitambo Ndiomana huwa napuuzia mie nakuendelea na yangu kwakua nothing matters to me anymore!
 
Mimi nawaza ghafla mumewe anaibuka na kuinyaka picha matata ya boss wetu humu amebinuka serekasi.

Maana kama alitubu na kumwambia kila kitu sidhani kama huyo mwanaume hakuwa curious japo kusoma kilichokuwepo na kusoma kinachoendelea.
Aisee hata kama hayupo humu; nahisi atakuwa amemuweka hata spy awe anamfuatilia mkewe. Sio rahisi mtu kuamini kila kitu na kumpotezea.

Ila nyie machawa khaaaa
 
Au hakumtajia ID?
Ila kama alitubu ni lazima alimtajia ID.

Hii imekaaje mkurugenzi msaidizi?
 
Mimi nawaza ghafla mumewe anaibuka na kuinyaka picha matata ya boss wetu humu amebinuka serekasi.

Maana kama alitubu na kumwambia kila kitu sidhani kama huyo mwanaume hakuwana curious japo kusoma kilichokuwepo na kusoma kinachoendelea.
Hahahaaa.... naselfika kama wengine......
halafu watu wanazipeleka picha zangu zahumu kwa mlebanoni 🤗🤗🤗🤗 sitaki kusema mengi ila we are not lovers kitambo sana tena sanaa!!
 
84883fa98920aa4e0025c26fae9b4678.jpg
 
Back
Top Bottom