Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,831
Mfano hapo nilikuwa shambani napalilia zangu Mahindi, nashangaa inapita juu ya kichwa Cha Mzee miye, kweli hatuna jinsi Wacha tufanye kazi tu [emoji2957][emoji2957]
Pasaka Njema Mkuu Shimba Ya Buyenze
Karibu huku Kijijini kwetu, kesho nitachinja Kondoo kufurahia Pasaka yangu, kama mpenzi wa Kuku, atakwepo kwaajili ya wageni.
Asante bro. Nikiweza nitakaribia. Nyote mbarikiwe sana [emoji1545]