Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,974
- 35,342
Utaniona vizuri kukikuchaDah....
Ulivyoficha sasa?

Utaniona vizuri kukikuchaDah....
Ulivyoficha sasa?

Wake zangu wataona halafu itakuwa zahma.Hata ukucha tu
Mama mtumishi eselfike basi
Ndio zipi hizoZa likizo ndo nzuri sasa
Zile za magwanda usiweke hapa best


Kwa kweli shoga ishikilie ndoa yako kwa mikono miwili kama una ugwadu mfate huko huko mdhamini mtu anayekuita mke wangu Mama ni hayo tuSina habari za mahusiano nae tena ...nilikoma nikatubu mazima kama kuna taarifa mlizisikia ni fekero sasa ngoja niwape mkanda mzima muamini msiamini sio kesi yangu niwape nisiwapeee🤸🤸🤸😜😜
Mimi sikulaumu Boss Lady. Kumuacha mpenzi/mchumba/mke kwa zaidi ya miezi mitatu ni kujitafutia kuchapiwa tu hata ufanyeje labda ubahatishe sana sijui upate mke wa aina gani. Mimi nilimwacha wa kwangu kwa miezi minane nikawa nimefanya maandalizi kila kitu kuja kurudi kumchukua nikaikuta pisi ina kitumbo cha miezi minne mapenzi ndi ndi ndi na lifisadi limoja hivi. Basi pisi nikaiachia tu iende japo mpaka leo tuko marafiki sana.
Wanawake wengi hasa hizi pisi kali vishawishi ni vingi mno na kabisa haziwezi kuvumilia. Na sasa hivi nikiwa na pisi kali siiwachi hata kwa mwezi mzima. Kama inachapwa pembeni ichapwe na mimi nikiwepo lakini siyo kusingizia upweke.
Bosi Ledi kinachonishangazaga ni kwamba unafanya mambo yako openly tu wala hujifichi. Ndo maana inakuwa vigumu sana kuamini kama una mume. Likely mume wako ni mwelewa sana hata siku moja akija kuona mauzi yako na mapicha ya humu wala hatamaindi. Ni mwanaume wa aina yake aisee!
Ndoa ndoana lakini hata kwa vijana mnaooa sasa hivi. Kamwe msikubali kuwaacha wake zenu kwa zaidi ya mwezi mzima kama bado mnawapenda. Wewe huko uliko utakuwa unachepuka na yeye huko atakuwa anachepuka pia japo kuna wachache wavumilivu sana!
#KuchapiwaHakuepukiki
#KitandaHakizaiHaramu
#Kuchapiwanisiriyandani
Jaman hata kidole tuWake zangu wataona halafu itakuwa zahma.
Ushawahi kuona kodole cha JINI ?Jaman hata kidole tu
40 mamii

navaa kiatu sawa na baby lolNkamu leo tuna issue sensitive sana, tupo busy na bosi lediMama mtumishi eselfike basi
Nimekuhamu ujue
Nimeona kamguu karefu, nipo hapa namba 4140 mamiinavaa kiatu sawa baby lol



HapanaUshawahi kuona kodole cha JINI ?
kipoje?🤣🤣 kila la heri mama mtumishi
Yes maa,nina kamguu karefu 40 ndo size yangu
Huyo kiumbe asimsogeze karibu yake tena kuna kupasha kiporo mara Mume kawakuta balaa japo siombei itokee
Ati best friend wake?
Aisee labda niwe zwazwa kukubali huo ujinga, vinginevyo moto utawaka.
😂😂😂😂jamaniii Mama mchungaji nimecheka kwa sauti na machozi juu😂😂😂😂😂😂😂😂
Tupeee boss wetu huyoooSina habari za mahusiano nae tena ...nilikoma nikatubu mazima kama kuna taarifa mlizisikia ni fekero sasa ngoja niwape mkanda mzima muamini msiamini sio kesi yangu niwape nisiwapeee![]()