Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,982
- 177,205
Kupuuzia mambo kunasaidia sana.... imagine unavamiwa na watu wengine mwenyewe unajiuliza nakushangaa nahuyu nae nimemfanya nini hupati majibu mie huwa ninajichekea tu !
Kupuuzia mambo kunasaidia sana.... imagine unavamiwa na watu wengine mwenyewe unajiuliza nakushangaa nahuyu nae nimemfanya nini hupati majibu mie huwa ninajichekea tu !
Asubutuuu huyu dada alitulia wewe kumtambukisha mwenza jf unadhani kitu cha mchezo mchezo labla kwa wengine ila kwa M hapana😬
Wewe ni ngangari hongera kwa hilo, mie sijui kama ningewezaAngekua mwingine mwenye moyo mwepesi angeshakimbia hii Id imagine wapambe Nuksi michambo kejeli unafiki hao chawa sasa uuwiiiiiii!! Bado kufunguliwa ma thread kama yote huku moyoni najichekea tu nhihihihihihi!
![]()
Una moyo pia una ujasiri ambao wengi hatuna kuna kitu natamani kukuuliza ila basi 😬Angekua mwingine mwenye moyo mwepesi angeshakimbia hii Id imagine wapambe Nuksi michambo kejeli unafiki hao chawa sasa uuwiiiiiii!! Bado kufunguliwa ma thread kama yote huku moyoni najichekea tu nhihihihihihi 🤔!😂😂😂
Acha tu ndugu acha kabisa......!!Wewe ni ngangari hongera kwa hilo, mie sijui kama ningeweza
Mimi binafsi siwezi Jf ningeibrock kwa miaka😬😬Wewe ni ngangari hongera kwa hilo, mie sijui kama ningeweza
hahahaaa... hio tufanye rasmi kesho majibu yote yapo hapaaa yani yotee hadi source ya povu la majuzi !Una moyo pia una ujasiri ambao wengi hatuna kuna kitu natamani kukuuliza ila basi 😬
Sema kuna ma deep informers watapeleka hizi habari kabla hakujakucha trust me!Mimi binafsi siwezi Jf ningeibrock kwa miaka😬😬
Daah na mimi kuna swali langu nilikuwa natype hapa. Basi ngoja niwe mvumilivu hadi kesho mkemiahahahaaa... hio tufanye rasmi kesho majibu yote yapo hapaaa yani yotee hadi source ya povu la majuzi !
Aisee tunaongea baya gani wapeleke mimi nimekusifia tu yes umeumbika kuna ubaya😘😘Sema kuna ma deep informers watapeleka hizi habari kabla hakujakucha trust me!
Kwa kweli kuna vitu huwa natamani nimuulize huwa nakausha😬😬Naomba hiyo kesho inshaalah ani tagDaah na mimi kuna swali langu nilikuwa natype hapa. Basi ngoja niwe mvumilivu hadi kesho mkemia
Mimi vimenishinda leo, nikasema niulize tu; nisijekabwa kwa umbeaKwa kweli kuna vitu huwa natamani nimuulize huwa nakausha![]()



Mie sijui kuchambana ma mchungaji ohoooo🤣🤣🤣!!Daah na mimi kuna swali langu nilikuwa natype hapa. Basi ngoja niwe mvumilivu hadi kesho mkemia
Jamani bosledihahahaaa... hio tufanye rasmi kesho majibu yote yapo hapaaa yani yotee hadi source ya povu la majuzi !
Hapana sio kuchambana kabisa wala si maswali ya uchonganishi. Ni maswali personal kidogo kwako wewe binafsiMie sijui kuchambana ma mchungaji ohoooo🤣🤣🤣!!
Mie sitaki fujo mjue!🤣🤣😂😂! Ila nawahakikishia majibu yote Ninayo!Mimi vimenishinda leo, nikasema niulize tu; nisijekabwa kwa umbea
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli labla kama upande wa pili wanataka ugomviHapana sio kuchambana kabisa wala si maswali ya uchonganishi. Ni maswali personal kidogo kwako wewe binafsi
Muulize bwana, atajibu hata kwa mkato 😄.. si eti mahondawMimi vimenishinda leo, nikasema niulize tu; nisijekabwa kwa umbea
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana sio kuchambana kabisa wala si maswali ya uchonganishi. Ni maswali personal kidogo kwako wewe binafsi